Huyu mke vp?

Huyu mke vp?

Hivi wana jf, una mke wa ndoa, maisha sio mabaya kiuchumi, shida unapotaka unyumba kwa mkeo inakuwa ni mlolongo, sasa ni almost mwezi mmoja, dawa ya hili tatizo nini?
Hayatuhusu. This is your private business.
 
WANAWAKE wakishazaa watoto mapenzi huhamia kwa watoto.Hivyo basi kaa nae chini umweleze yanayokusibu.Natumai mtaelewana.
 
Mke ni zaidi ya unyumba!

Hapa ndipo wanaume wengi hukosea. Kwakuwa mnamali basi inawezekana unamkashifu mkeo kwa kumsimanga yamkini kuhusu hali duni ya familia yao (mtazamo tu).

Ukitaka kufaidi ndoa yako na hasa tunda la mti wa kati "kila siku" au siku yeyote ile upendayo...fanya hivi....

Kwanza nakupa siri kwamba wanawake waliowengi siyo malimbukeni wa kula tunda, awe ameolewa au hajaolewa. Hivyo inakubidi wewe m'ume umtayarishe mkeo kimahaba.

Epukana na lugha za maudhi, matusi, kukashifu. Epuka kugombana na watoto wenu bila sababu au tumia njia ya amani kwenye kuwakanya watoto "siyo matusi weeee".

Usiwe na dalili za uchoyo kwa ndugu zenu "pande zote mbili". Uwe ni mtu wa furaha bila matabaka kwamba akija A umenuna akija B unafurahi!

Msaidie mkeo kazi hasa ukirudi nyumbani. Hata kama haufanyi kazi basi uwepo kwenye mazingira ambayo yupo nyumbani kama ni jikoni, anafua n.k Siyo mkeo anapika wewe unaangalia TV, mkeo anafua unasoma gazeti, halafu usiku unataka tunda wakati yeye amechoka?!

Zaidi ya yote "kuweni na muda mmoja wa kulala". Yeye akitangualia kulala usimwamshe. Acha alale (imekula kwako siku hiyo).

Mkiingia kulala muda mmoja, pamoja. Usimwambie mama yoyo naomba kla tunda!!! Hapana! Mfanyie masaji ya ukweli hasa miguuni kwa nyuma na shingoni kwenye misuli ya shingo na mgongoni, pia kichwani. Usimguse kwenye whitehouse au hoteli ya watoto wakati wa masaji kwani ukimgusa atajua "lengo lako".

Ukiwa unakaribia kumaliza kumfanyia masaji rudia tena miguuni kwa nyuma huku ukigusa "kigoda" chake kwa upole.

Pumua kwa nguvu, jifanye umechoka, jiegeshe pembeni yake. Ninauhakika atakugeukia na mtacheza mpira!

Mengine siwezi kuandika hapa!

Angalizo: ukiwa mvivu kitandani "mtu wa dkk 1, huyo mama yoyo wako ataendelea kutokukupa tunda! Na hata ukienda nje bado tatizo litakuwa palepale.

Yote hayo only kwaajili ya tundi, Aaah akafie mbele. Nyumba ndogo ndo kila kitu hapo.
 
Inakubidi umfuatilie kwa makini sana,kwamaana ninaimani kabisa hata yy hamu inaipata ss anaimalizia wapi?,au anatoka nje?,na kama anatoka nje inakubidi uangalie kasoro ndogo ndogo ulizo nazo mpk asivutike kimapenzi nawe.
 
inawezekana ameshaikanyaga miwaya na hataki upate maafa,usimlazimishe, mwambie mwende mkapime ngoma
 
Hivi wana jf, una mke wa ndoa, maisha sio mabaya kiuchumi, shida unapotaka unyumba kwa mkeo inakuwa ni mlolongo, sasa ni almost mwezi mmoja, dawa ya hili tatizo nini?

Simchezo mkuu , ni labda unamboa tu na shughuli hauifanyi kwa ustadi au kapata kipoozeo kinachomkuna kisawa sawa,,,,,,,,

hakuna mwanamke asiyependwa kugegedwa.
 
Yote hayo only kwaajili ya tundi, Aaah akafie mbele. Nyumba ndogo ndo kila kitu hapo.
pia nyumba ndogo inahitaji "masaji n.k." kwenda nyumba ndogo ni kuongeza matatizo na kujiabisha haswa kama jamaa hajiwezi akiwa faragha!
 
we ni nani hasa wa kunpangia cha kuandka?? Nimepewa onyo ya ban so usitake niikose jf.mind your own f*king biznes.

hebu jifunze ku argue kama matured person sio unaleta matusi na kupanic bila sababu hapa. huna self control nini wewe mtu. yaani hapa unazidi kudhihirisha UZIRO WAKO. hebu rudi form two ukajifunze life skills huko.
 
Simchezo kama mkeo ambaye mnalala kitanda kimoja huku ukiwa umeweka mguu wako mmoja juu ya kiwiliwili chake,
na vidole vya mikono yako vikiwa vinatembea mwilini kwake anaweza kukukatalia hiyo kitu kweli;
.......... au na wewe ndo wale wa ..... we mwanamke njoo huku nikurare..........
 
Last edited by a moderator:
hapo akili za kuambiwa changanya na zako-ishu hapo ni MPANGO WA KANDO
 
Simchezo kama mkeo ambaye mnalala kitanda kimoja huku ukiwa umeweka mguu wako mmoja juu ya kiwiliwili chake,
na vidole vya mikono yako vikiwa vinatembea mwilini kwake anaweza kukukatalia hiyo kitu kweli;
.......... au na wewe ndo wale wa ..... we mwanamke njoo huku nikurare..........
panua mapaya mama yoyo nirenge!!au urushie shillingi
 
Back
Top Bottom