Huyu mke vp?

Huyu mke vp?


duuuh!!kuna sababu hapo
huenda kuna kinachomkera mkeo
kaa nae muulize taratibu,wala
haina haja ya nyumba ndogo,huwezi kutatua
tatizo kwa kuongeza matatizo!!
mtoa mada ana uwezo wa kuvumilia sana na sijui kwanini ana lalamika wakati siku zote alikaa kimya.
 
Hivi wana jf, una mke wa ndoa, maisha sio mabaya kiuchumi, shida unapotaka unyumba kwa mkeo inakuwa ni mlolongo, sasa ni almost mwezi mmoja, dawa ya hili tatizo nini?

Umejaribu kuongea nae?
Kama hakuwa hivi mwanzoni basi kuna tatizo na mtu pekee wa kukwambia tatizo ni nini ni huyo mkeo na njia rahisi ya wewe kujua kinachoendelea ni kupitia mazungumzo kati yenu.
Hujachelewa,anza sasa kuzungumza na mwenzio.
 
Kaa nae chini mliongelee jambo hilo pamoja. Pengine kuna jambo ambalo linamkwaza hadi kuliona tendo kero na kutolitamani. Mwawenza anzia ngazi ya chini, wewe na yeye. Ikishindikana, songa mbele kutafuta suluhu zaidi.
 
umemaliza mkuu.
Mke ni zaidi ya unyumba!

Hapa ndipo wanaume wengi hukosea. Kwakuwa mnamali basi inawezekana unamkashifu mkeo kwa kumsimanga yamkini kuhusu hali duni ya familia yao (mtazamo tu).

Ukitaka kufaidi ndoa yako na hasa tunda la mti wa kati "kila siku" au siku yeyote ile upendayo...fanya hivi....

Kwanza nakupa siri kwamba wanawake waliowengi siyo malimbukeni wa kula tunda, awe ameolewa au hajaolewa. Hivyo inakubidi wewe m'ume umtayarishe mkeo kimahaba.

Epukana na lugha za maudhi, matusi, kukashifu. Epuka kugombana na watoto wenu bila sababu au tumia njia ya amani kwenye kuwakanya watoto "siyo matusi weeee".

Usiwe na dalili za uchoyo kwa ndugu zenu "pande zote mbili". Uwe ni mtu wa furaha bila matabaka kwamba akija A umenuna akija B unafurahi!

Msaidie mkeo kazi hasa ukirudi nyumbani. Hata kama haufanyi kazi basi uwepo kwenye mazingira ambayo yupo nyumbani kama ni jikoni, anafua n.k Siyo mkeo anapika wewe unaangalia TV, mkeo anafua unasoma gazeti, halafu usiku unataka tunda wakati yeye amechoka?!

Zaidi ya yote "kuweni na muda mmoja wa kulala". Yeye akitangualia kulala usimwamshe. Acha alale (imekula kwako siku hiyo).

Mkiingia kulala muda mmoja, pamoja. Usimwambie mama yoyo naomba kla tunda!!! Hapana! Mfanyie masaji ya ukweli hasa miguuni kwa nyuma na shingoni kwenye misuli ya shingo na mgongoni, pia kichwani. Usimguse kwenye whitehouse au hoteli ya watoto wakati wa masaji kwani ukimgusa atajua "lengo lako".

Ukiwa unakaribia kumaliza kumfanyia masaji rudia tena miguuni kwa nyuma huku ukigusa "kigoda" chake kwa upole.

Pumua kwa nguvu, jifanye umechoka, jiegeshe pembeni yake. Ninauhakika atakugeukia na mtacheza mpira!

Mengine siwezi kuandika hapa!

Angalizo: ukiwa mvivu kitandani "mtu wa dkk 1, huyo mama yoyo wako ataendelea kutokukupa tunda! Na hata ukienda nje bado tatizo litakuwa palepale.
 
mtoa mada ana uwezo wa kuvumilia sana na sijui kwanini ana lalamika wakati siku zote alikaa kimya.

aaah wapi,mwezi mmoja tu
ameanza kulalalmika,je mke akipata ajali
akavunjika kiuno itakuaje?uvumilivu ziro hapo!!
 
Back
Top Bottom