Huyu Mghana kuendelea kubakia nchini Ni Aibu kwa Taifa

Kamukhm

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,799
4,195
Simba wanapaswa kuwa wazalendo, Tuhuma za kuvibishia vyombo vya Usalama, Kuvunja sheria za nchi, kudharau taratibu zetu viwanjani ..hatupaswi kabisa kuendelea kumkumbatia Mchezaji Huyu. Inajenga tabia ya wageni kujiona keki nyumbani kwetu kutudharau na kusambaza sifa mbaya ya Taifa Dhaifu.

Simba Na Uongozi wote wa TFF, Serikali na Mashabiki wa soka nchini lazima kuwe na mstari wa uzalendo ambao hatuwezi kuuvuka.

#Simba_Taifa_Kubwa.
Uzalendo Kwanza
 
Pambananeni na hali zenu ndugu zangu utopolo. Mambo ya simba hayawahusu
Sijawahi kushabikia utopolo... Pamoja na kuipenda Simba kupita kiasi...

Bado Taifa Hili na watu wake ni Bora na wa Muhimu zaidi.. dhana hii ni Uzalendo wa Kitaifa.. kama Taifa ...utanzania unaanza kabla ya Simba na Yanga.

Ile Ni dharau kwa Watanzania wote... Nioneshe Watanzania wanaomissbehave ugenini na wanapaishwa kama sio kuwa deported.
 
Nyau wako sahihi, ujinga ulianzia kwa Yanga kuendelea kumkumbatia ili hali huyu jamaa alisha onesha utovu wa nidhamu,kama Yanga wangemtema kulikuwa na mashiko kwa hoja yako hii
Simba wamekosa uzalendo na Yanga wamepoteza dira ni kilabu kile sio klabu tena ... Tuwasamehe
 
Leo ndo unaona "uzalendo" baada ya kutoswa? Uzalendo si kuunga mkono upuuzi.Waambie viongozi na GSM waheshimu "wafanya kazi".
Ya Yanga wabakie nayo Yanga.. na sisi Simba tuachane naye.. kujenga uzalendo wa kweli
 
Simba wamekosa uzalendo na Yanga wamepoteza dira ni kilabu kile sio klabu tena ... Tuwasamehe
Nyau fc wako sahihi sana, wale na yanga ni wapinzani na hii silaha ndo ilikuwa tishio kwao kuona licha ya utovu wa nidhamu kwa huyu mvuta bhangi bado yanga hawajaonesha kuwa wazalendo (kumtema) nao wakapigana ili kumuwahi wako sahihi sana.

Yanga walipaswa kuwasiliana na Nyau kwamba huyu mvuta bhangi tunamtema kwa kosa la kinidhamu ili klinda heshima ya ligi yetu ko mkaushieni,Nyau wangezingua hapa ndo tungesema si ACT wazalendo
 
BM

Yanga walipombakiza kwenye kikosi chao mbona haujalaumu?, kwa nini simba tu waonekane hawana uzalendo kisa katoka yanga kwa shali?
Haki elimu walisema "Kandambili sio Kiatu" kisa bwana yule kakumbatia uchafu haimaanishi na Sisi Simba tumpokonye na sisi tuwe maarufu.... Huu ni umaarufu chawa kwa klabu kubwa kama Simba.

Halafu Simba tuache kujilinganisha na vitu vya ajabu.. Yanga kweli ndio tunajilinganisha naye!? Kweli!?

Maswalj yetu yanapaswa kuwa Orlando, Zamalek, Man City wangembakiza!?
 
Nyau fc wako sahihi sana, wale na yanga ni wapinzani na hii silaha ndo ilikuwa tishio kwao kuona licha ya utovu wa nidhamu kwa huyu mvuta bhangi bado yanga hawajaonesha kuwa wazalendo (kumtema) nao wakapigana ili kumuwahi wako sahihi sana.

Yanga walipaswa kuwasiliana na Nyau kwamba huyu mvuta bhangi tunamtema kwa kosa la kinidhamu ili klinda heshima ya ligi yetu ko mkaushieni,Nyau wangezingua hapa ndo tungesema si ACT wazalendo
Hiyo Aya ya pili inapaswa kuwa dira ya Mtanzania yeyote.. mtu anayeidharau nchi Hii na misingi yake tunamuwajibisha... Kea Sasa MASHABIKI WA SIMBA TUNAPASWA KUWASAJIBISHA UONGOZI WA SIMBA NA TFF KWA KUSUSIA MECHI ZOTE ZA LIGI. Ili iwe funzo wakienda nje huko waje na wachezaji sio wavuta bangi.
 
mkuu mimi ni Yanga ila kwa hili nasimama na Nyau fc, maana hii silaha ni nzito licha ya utovu wa nidhamu bado Yanga akaendelea kumshikilia na kuwaacha wazalendo kina Ngassa Nyau akaona isiwe tabu huyu anataka niua tena kwa mashuti ya mbali, anakosa uzalendo bado anaitaka hii silaha licha ya upumbavu wote ngoja niichukue tu.

Yanga wawe wazalendo kwanza na wawe wanawasiliana na Nyau fc na timu zote za ligi kuu na ndogo kwa wavuta bhangi kutoka nje wasipate nafasi
 
Sasa Muda Simba Kuonesha Ukubwa... Muongoza Njia
 
Simba wanapaswa kuwa wazalendo, Tuhuma za kuvibishia vyombo vya Usalama, Kuvunja sheria za nchi, kudharau taratibu zetu viwanjani ..hatupaswi kabisa kuendelea kumkumbatia Mchezaji Huyu. Inajenga tabia ya wageni kujiona keki nyumbani kwetu kutudharau na kusambaza sifa mbaya ya Taifa Dhaifu.

Simba Na Uongozi wote wa TFF, Serikali na Mashabiki wa soka nchini lazima kuwe na mstari wa uzalendo ambao hatuwezi kuuvuka.

#Simba_Taifa_Kubwa.
Uzalendo Kwanza
Yaani afukuzwe yanga tunaumia
 
Kwa jeuri ya pesa ya Ponjoro wao, wameshindwa kusubiri Jumatatu ili TFF watoe majibu ambayo tunajua yamepangwa huko policcm eti signature ya Morrison imegusiwa kwenye mkataba.

Kama signature yake iligusiwa, alienda vipi kwa Engineer ili wavunje mkataba? Aliwekewa hela kwenye account akakaa kimya kwanza.
Hii vita wameanzisha itawagharimu. Kibaya zaidi, itaigharimu sana business empire ya Mwamedi.
Time will tell
 
Back
Top Bottom