Huyu mganga ni kiboko

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,274
6,592
MGANGA WA KIENYEJI KUTOKA Chitwechenkura.

1.Nazuia Simu feki zisizimwe
2.Kurudisha Mtoto aliyefukuzwa UDOM
3.Kununua sukari kwa bei ya kawaida
4.Kuzuia usiumie kwa basi la mwendo kasi
likipata ajali
5.Kurudishwa Bungeni kama uliibiwa kura zako
Na kesi ikatupiliwa mbali
6.Kuona Bunge live
7.Kuzuia kutumbuliwa

Huyu Mganga naona anataka kutumbuliwa!
Hamjui Magufuli nini?
 
Waganga wa kienyeji siku zote wanajua kuzitumia fulsa.
Tena kwa haraka sana.
 
Anapatikana Mtaa wa ufipa kinondoni huyu Mganguzi bila shaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom