Mganga wa kienyeji

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
MGANGA WA KIENYEJI KUTOKA Idumulavanu.
1.Nazuia Simu feki zisizimwe
2.Kurudisha Mtoto aliyefukuzwa UDOM
3.Kununua sukari kwa bei ya kawaida
4.Kuzuia usiumie kwa basi la mwendo kasi likipata ajali
5.Kurudishwa Bungeni kama uliibiwa kura zako Na kesi ikatupiliwa mbali
6.Kuona Bunge live
7.Kuzuia kutumbuliwa
 
MGANGA WA KIENYEJI KUTOKA Idumulavanu.
1.Nazuia Simu feki zisizimwe
2.Kurudisha Mtoto aliyefukuzwa UDOM
3.Kununua sukari kwa bei ya kawaida
4.Kuzuia usiumie kwa basi la mwendo kasi likipata ajali
5.Kurudishwa Bungeni kama uliibiwa kura zako Na kesi ikatupiliwa mbali
6.Kuona Bunge live
7.Kuzuia kutumbuliwa
salaam WA kuu! Mimi Ni mgeni hapa kwa hii jukwaa naomba ushirika wenu kwani niongoza, asante kwa madha mzuri nzuuuuri hiii ya uchawi,
 
Back
Top Bottom