Mganga wa jadi toka sumbawanga

bobdizo

Senior Member
Jun 28, 2014
137
50
MGANGA WA KIENYEJI KUTOKA SUMBAWANGA.
1.Nazuia Simu feki zisizimwe
2.Kurudisha Mtoto aliyefukuzwa UDOM
3.Kununua sukari kwa bei ya kawaida
4.Kuzuia usiumie kwa basi la mwendo kasi likipata ajali
5.Kurudishwa Bungeni kama uliibiwa kura zako Na kesi ikatupiliwa mbali
6.Kuona Bunge live
7.Kuzuia kutumbuliwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom