Huyu Mganga alipitaje pale JKNIA?

Kwani hapa nchini amekosa wateja anataka kwenda kuwatafuta nje ya nchi?
 
Pumbavu
Huyo mwanga ni kama nabii wenu mwamposa na maji upako na mafuta ya kupigia punyeto ya upako.
Mwanga anatumia lugha ya quran na kumtaja allah kwenye maandishi yake we mmatumbi mbona unamkana nduguyo?
 
Na mwamposa anavyowapurura na sadaka za kujilipua mpaka nauli, hizo hela zinaenda kwa yesu au kwenye akauti yake
Wagalatia akili zimejaa tope

1711712235017.png
 
Tarasimu si ni sehemu ya ibada ya dini husika?
Hizo vitu anaenda navyo vikaongezewe nguvu huko

umeandika hayo kwa reference ya kitabu gani?
weka kifungu hapa cha Quran tuone na kama huna, uliza aliyekusimulia hayo akupe kifungu....
Watu wengi hufanya machafu kwa matakwa yao halafu wengine hufikiri ni dini yao imewataka.
 
Na mwamposa anavyowapurura na sadaka za kujilipua mpaka nauli, hizo hela zinaenda kwa yesu au kwenye akauti yake
Wagalatia akili zimejaa tope

View attachment 2948098
Kwani Yesu anamiliki account ya benki gani mpaka sadaka ziende kwenye account yake
Acha awapurule ni wao wenyewe na ujinga wao hana tofauti yule anaetumia jina la allah na michoro ya quran na matalasimu kufanya ulozi
 
Kwani kuna sehemu nimesema huyo sio mchawi?
Na anayemkatalia kwenye hio clip kwamba hii sio qurani ni mgalatia?
Hebu pitia hii imetoka wapi tena imeandikwa kile kilugha cha quran
View attachment 2948106
Na unajua quran inaandikwa kwa lugha gani?
Wewe ukiona maandishi ya kiarabu popote akili yako inakuambia ni quran ?
"kilugha cha quran" ......Hapa umeonyesha wewe ni kilaza
 
Kwani kuna sehemu nimesema huyo sio mchawi?
Na anayemkatalia kwenye hio clip kwamba hii sio qurani ni mgalatia?

Na unajua quran inaandikwa kwa lugha gani?
Wewe ukiona maandishi ya kiarabu popote akili yako inakuambia ni quran ?
"kilugha cha quran" ......Hapa umeonyesha wewe ni kilaza
Asili ya uislamu ni uarabuni au ni kwenu matumbini?
Mchawi anatumia jina swafi la allah
 
Back
Top Bottom