Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
Ashadii ni moja ya vivutio wa JF
Kivutio tena...khaaa!!
Hahaha kivutio wewe hujambo lakini? Umepotea sana
Miye sina jambo ndugu yangu nipo labda twapishana majukwaa tu, hahah sikujua humu ndani tunao watu vivutio lol...
Nimecheka sana daaaAshadii ni moja ya vivutio wa JF
Konda wa bodaboda, AshaDii yupo. Tumemficha kwa sababu za kifamilia.
I miss her too kwa kweli.
Cc Kaizer