Huyu mdada kanipenda au ananionea huruma tu?

kakuonea tu huruma, kwanini wakaka mkionyeshwa wema kidogo mnahisi ni mapenzi..? ama mnadhani wanawake hawana mioyo yenye huruma na upendo pia..?
Tumeshazoea wanawake watanzania ni ngumu kutoa pesa kwa mtu ambae siyo ndugu yake, wenyewe wameshazoea kupokea, ila wakushakua watu wazima na kupata watoto ndiyo wanakua na Moyo wakutoa na kusaidia kwasababu hisia zao zinawapeleka kuona ni watoto wao.
 
You are a very ungrateful human being. Hapo Mungu kaamua kumtumia huyo binti kukupa chakula halafu unaanza kuwaza upuuzi. Na kama unatokea Njombe uwezekano wa wewe kuwa hata handsome au mwonekano wa kuvutia binti ni mdogo sana kwa hiyo suala la kukutaka kimapenzi halipo.

Mwaka 2004 naenda form 5 pale Mkwawa nilikutana na hali kama hiyo yako ila mimi nilimshukuru Mungu na kuchukulia kama muujiza. Nikiwa kwenye basi la Hood from Arusha mfukoni nina Tsh 1,000/= tu kama pocket money. Nilikuwa nawaza kinoma itakuwaje hii buku ndo ya kula njiani hapohapo pocket money shule??

Binti aliyekuwa pembeni yangu hatukusemeshana kabisa. Pale Chalinze akanunua chungwa na kunigawia. Nikashukuru. Morogoro pia kuna kitu alinunua akanigawia. Ilula akaninunulia chips. Tulipofika Iringa tukaagana na ndo ikawa mara ya kwanza na ya mwisho kuonana. Wote hatukuwa na siku wakati huo.

Bahati nzuri nilipofika shuleni kwa mhasibu nikajulishwa kuwa kuna michango kwenye joining instructions shule iliamua kuifuta. Nikapata muujiza mwingine wa kurudishiwa Tsh 17,000/=.
Aisee pole sana.
Nimejua kwanini wewe ni chawa wa CCM
 
Alie kuuzia vitumbua na maji vile anakuangalia
Screenshot_20250625_125249_Facebook.jpg
 
Tumeshazoea wanawake watanzania ni ngumu kutoa pesa kwa mtu ambae siyo ndugu yake, wenyewe wameshazoea kupokea, ila wakushakua watu wazima na kupata watoto ndiyo wanakua na Moyo wakutoa na kusaidia kwasababu hisia zao zinawapeleka kuona ni watoto wao.
Sijui hii mifano mnatoa wapi ndugu zangu wanaume wa Kitanzania, ila nimekutana na wadada wengi wenye roho zao nzuri tu kwa watu wasiowajua, tena wengine wananifanya mpaka nizidi kujifunza kuendelea kuwa mwema kupitia wao..!!
 
Wapo ila ni wachache sana,

Najiuliza mleta mada baada ya kupewa Chipsi na Kuku,aliendelea kula vitumbua vyake au aliviacha ili iwe Dinner huko aendako?
Haha,
Itakuwa alivishamaliza, nina rafiki yangu mkaka huwa anasema chips siyo chakula kwake hayo ni kama matunda, anakula chips kwa hamu kisha anakula ugali wake ndiyo ashibe..!
 
You are a very ungrateful human being. Hapo Mungu kaamua kumtumia huyo binti kukupa chakula halafu unaanza kuwaza upuuzi. Na kama unatokea Njombe uwezekano wa wewe kuwa hata handsome au mwonekano wa kuvutia binti ni mdogo sana kwa hiyo suala la kukutaka kimapenzi halipo.

Mwaka 2004 naenda form 5 pale Mkwawa nilikutana na hali kama hiyo yako ila mimi nilimshukuru Mungu na kuchukulia kama muujiza. Nikiwa kwenye basi la Hood from Arusha mfukoni nina Tsh 1,000/= tu kama pocket money. Nilikuwa nawaza kinoma itakuwaje hii buku ndo ya kula njiani hapohapo pocket money shule??

Binti aliyekuwa pembeni yangu hatukusemeshana kabisa. Pale Chalinze akanunua chungwa na kunigawia. Nikashukuru. Morogoro pia kuna kitu alinunua akanigawia. Ilula akaninunulia chips. Tulipofika Iringa tukaagana na ndo ikawa mara ya kwanza na ya mwisho kuonana. Wote hatukuwa na siku wakati huo.

Bahati nzuri nilipofika shuleni kwa mhasibu nikajulishwa kuwa kuna michango kwenye joining instructions shule iliamua kuifuta. Nikapata muujiza mwingine wa kurudishiwa Tsh 17,000/=.
Kuna jamaa alipewa kazi akae shambani sasa mke wa mwenye shamba akawa anamuonea huruma siku nyingine anampelekwa zawadi ya nguo , siku nyingine anapelekewa Pizza au Kachomewa Kuku mzima, alivyo fala akafikiri maza anamtaka kimapenzi akajichanganya kuingiza voko, kilichomkuta kidogo anyang'anywe zawadi zote afukuzwe kavaa boksa
 
You are a very ungrateful human being. Hapo Mungu kaamua kumtumia huyo binti kukupa chakula halafu unaanza kuwaza upuuzi. Na kama unatokea Njombe uwezekano wa wewe kuwa hata handsome au mwonekano wa kuvutia binti ni mdogo sana kwa hiyo suala la kukutaka kimapenzi halipo.

Mwaka 2004 naenda form 5 pale Mkwawa nilikutana na hali kama hiyo yako ila mimi nilimshukuru Mungu na kuchukulia kama muujiza. Nikiwa kwenye basi la Hood from Arusha mfukoni nina Tsh 1,000/= tu kama pocket money. Nilikuwa nawaza kinoma itakuwaje hii buku ndo ya kula njiani hapohapo pocket money shule??

Binti aliyekuwa pembeni yangu hatukusemeshana kabisa. Pale Chalinze akanunua chungwa na kunigawia. Nikashukuru. Morogoro pia kuna kitu alinunua akanigawia. Ilula akaninunulia chips. Tulipofika Iringa tukaagana na ndo ikawa mara ya kwanza na ya mwisho kuonana. Wote hatukuwa na siku wakati huo.

Bahati nzuri nilipofika shuleni kwa mhasibu nikajulishwa kuwa kuna michango kwenye joining instructions shule iliamua kuifuta. Nikapata muujiza mwingine wa kurudishiwa Tsh 17,000/=.
Kwanini njombe yangu lakini 😢😢
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom