Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,842
- 7,250
😂😂😂 dah
😂😂😂 dah
Wewe ndie huyo kwenye avatar yako? Nipe jibu nijue tatizo liko wapi.



hapana mkuuyap hio ipoHapa ndo umezidi kuzingua mkuu bora hata usingesema .Afya yake imetetereka kisa abortion jitahidi mkuu akiwa sawa watarudiana tena wewe sijui utajiweka wap
kabisa mkuuHapo kuna mtu unamtunzia wife jiongeze man. Ila inawezekana ndo kipaji chako cha kulea tu tusilaumu sana,
Sasa unakwama wapi jombaa, izo hela na huduma unazo mfanyia sasahiv zitakuja kukutesa sana kimawazo siku akikupiga chini na mzigo hujala we fanya hivi hata kama uko vizuri kufedha kata mfeleji wa kumpa hela alafu punguza shobo usimtafute mda wote sms jibu short short yan kama anakupenda lazima atakulalamikia kua umebadilika akitaka kujua tatizo nini, hapo sasa funguka mwambie huwezi kua na mtu asijali hisia zako, mzee kama anakupenda atakuletea papuchi mda huo huo. Ila mzee nawewe ni mzito yani dem dem anakuja anafua unamuangalia tuu?
mkuu huyu binti najua hanipendi na anajua matatizo yangu, anajua akimla ntamuacha, na hanipendi maana nmeanza kmtongoza toka 2018 sina kitu alkua anazingua hivi hvi baada ya kuona kuna uhakka wa cash ndo kidogo anasogea, ila kiukweli kabisa m nataka nmle nipite kushoto, ila ngoja ngoja zmekua nyingiSasa unakwama wapi jombaa, izo hela na huduma unazo mfanyia sasahiv zitakuja kukutesa sana kimawazo siku akikupiga chini na mzigo hujala we fanya hivi hata kama uko vizuri kufedha kata mfeleji wa kumpa hela alafu punguza shobo usimtafute mda wote sms jibu short short yan kama anakupenda lazima atakulalamikia kua umebadilika akitaka kujua tatizo nini, hapo sasa funguka mwambie huwezi kua na mtu asijali hisia zako, mzee kama anakupenda atakuletea papuchi mda huo huo. Ila mzee nawewe ni mzito yani dem dem anakuja anafua unamuangalia tuu?
Madam huyu kijana anaonekana ana tatizo kibwa zaidi.....we msome tu maelezo anayoyaongezaNa quote:
'ana sura ya kitoto japo age inasoma 20 years'.
Aisee, si Ni katoto haka bado?
So sisi wenye baby face na Ni 35+ si ndo vibibi kabisa?
yeye anasema ananipenda nimpe mda kidogo tatizo mm nna haraka na mambo ya kuvumilia siwezi, sema hela nakata sitoi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama mbona atajenga chumba na sebule huko alikoHakikisha kila unapompa pesa umpe na mama yako .....
Mbinu ya kibaharia sana hii. Usimwonyeshe kama unamtegemea yeye tu. Jaribu kuwa busy na simu ukiwa nae akikuuliza kwa nini mweleze kuwa umeshindwa kusubiria na unatafuta mtu mwingine. Au jaribu kumkumbatia muda mrefu yaani Zaidi ya dk 5 au 10 wala usilazimishe madenda. Demu akianza kupata joto tu na akisikia dude lilivyosimama anaingia simanzi na kunyegerekaDawa ya mwanamke mwanamke mwenzie. Muonyeshe siku moja kuwa anachokubania unaweza kukipata kwa mtu mwingine ukiamua. Na muonyeshe ni jinsi gani asipokuwa makini atakupoteza. Mwenyewe ataachia uchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nyuzi zingine zinaweza kukufanya uropike vitu vingine hapa
God save us



KWERI kabiswHakikisha kila unapompa pesa umpe na mama yako .....