Calvin and 1000 Others
Member
- May 13, 2020
- 7
- 9
We we ni zwazwa BongoZozo
bikra atolee wapiMpwa unafeli sana tena sana. Demu kumbe sio bikra anakupotezeaje muda mpwa wangu??? Njoo pm mpwa
Kama kichwa cha habari kinavosomeka, mwaka 2018 nilikuatana na mdada flani JKT Kambi flani baada ya Form 6, Mungu si Athumani tupo wote mkoa mmja.
Tuliendelea kuwasliana mdada ni mwembamba kiasi, ni mzuri haswa ana sura ya kitoto japo age yake inasoma 20 yrs, binafisi nilmpenda sana, ila alikua na mahusiano.
Yote ya yote wameachana na mtu wake anachoniambia akitaka kumkabidhi mtu moyo basi atanikabidhi mimi, kila siku jioni tuonaonana, nampa nguo anafua, anapapenda sana na ninapokaa anasema ni pazuri sana.
Akiwa na mambo yake ananiambia imefkia hatua ananiagiza hadi chupi, ila tatizo hataki anasema nimsubilie akitaka kuingia kwenye mahusiano, kuna mambo yalimtokea japo alinismulia ila sasa kaka karibia nakata tamaa.
Hela ya kula hainipgi chenga Mungu anajalia, akihitaji hata 50k, nampa mda huo huo na hela naitafuta na anajua nina hela japo sio kivile na mpenzi sina maana maisha yangu ni ya kutafuta, ila huyu msichana nitamkosa kisa kukata tamaa japo yeye ndo ananiamsha kila siku. Ntamkatia tamaa japo ni mzuri
Dash hivi mdau kweli ulipitia jkt?
ASA dogo kumbe alitoa mimba bado anakuendesha hivo
Wakati mwingine watakiwa uwe na maamuzi ,sio kuendelea kumpa pesa tu za bure
Hebu tuwekee japo picha yake tumuone kwa mbali then tatakupa ushauri sahihi

asiudanganye umma kiasi hikiAweke japo tu screenshot ya anavyoamshwa kila sikuasiudanganye umma kiasi hiki





mkuu nawapa mkuu, kuhusu ilo niko vizuriHakikisha kila unapompa pesa umpe na mama yako .....
