google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,868
na ban upigwe vile vileKuna nyuzi zingine zinaweza kukufanya uropike vitu vingine hapa
God save us
usiandike tena maana unaweza kutukana na kupigwa ban miezi 3nimeandika nikafuta nikaandika tena nikafuta
subiri nisome comments tu
kama mleta mada jkt ameenda sijui kabla hajaenda alikuwa vipi ?Huyo no mwanamke bro, ananaibu zake Kama mwanamke, hawezi akaja geto akakuambia anataka asex na ww, jiongeze Kama mtu anakuja mpaka ndani, anafua, anakuagiza chupi, unasubiri nn kijana, tumia wepesi uliofundishwa jkt.
Sent using Jamii Forums mobile app
na pesa anapelekewaMkuu usikate tamaa,anza kwa kumuomba hata umkumbatie, akiwa anakuja au ukiwa unamuaga wakati anaondoka,utamvuta taratibu acha mambo ya kizamani unaweza ukakuta kuna boya mwenzio atumii hata nguvu anakula tunda.
sawa mkuu, ubarikiweKwanza huyo tayari anakuona kama mwanamke mwenzake,ndo maana anakupa mpk vyupi vyake umshikie kwa kua akijua hauna madhara kwake na huku akiendelea kula hela zako mana cha mjinga huliwa na mwerevu.
hii sio hali ya kawaida kwa tuliopitia jktkabisa aisee
jamaa alokua nae kampa mimba inaelekea dogo aliendq kuflash, kimimba kidogo, sasa pale ndo hawakuelewana na jamaa ake ikabidi waachane n mda kama miezi minne, dogo alisaidiwa na dada ake ata wazazi hawajui, alivoenda kutoa alkutwa na matatizo mengne so akasafishwa, yy anachodai hajakomaa na pia anaitaji mda kutulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwanamdogo, nimekuita hvo coz mie /sis ndo tulikuwa intake ya kwanza kwenda JKT kwa mujibu wa sheria 2013.Kama kichwa cha habari kinavosomeka, mwaka 2018 nilikuatana na mdada flani JKT Kambi flani baada ya Form 6, Mungu si Athumani tupo wote mkoa mmja.
Tuliendelea kuwasliana mdada ni mwembamba kiasi, ni mzuri haswa ana sura ya kitoto japo age yake inasoma 20 yrs, binafisi nilmpenda sana, ila alikua na mahusiano.
Yote ya yote wameachana na mtu wake anachoniambia akitaka kumkabidhi mtu moyo basi atanikabidhi mimi, kila siku jioni tuonaonana, nampa nguo anafua, anapapenda sana na ninapokaa anasema ni pazuri sana.
Akiwa na mambo yake ananiambia imefkia hatua ananiagiza hadi chupi, ila tatizo hataki anasema nimsubilie akitaka kuingia kwenye mahusiano, kuna mambo yalimtokea japo alinismulia ila sasa kaka karibia nakata tamaa.
Hela ya kula hainipgi chenga Mungu anajalia, akihitaji hata 50k, nampa mda huo huo na hela naitafuta na anajua nina hela japo sio kivile na mpenzi sina maana maisha yangu ni ya kutafuta, ila huyu msichana nitamkosa kisa kukata tamaa japo yeye ndo ananiamsha kila siku. Ntamkatia tamaa japo ni mzuri
Kumbe wajinga na matahira yapo mengi. Yan kama kilichokua ndan ya mwili wake alishindwa kuishi nacho ww ulie nje ya mwili wake ndo ataweza kukuvumilia kweli? Huyo yupo kwako kimasilahi tu sio mwanamke mzuri kabsaaa kama alipata ujasiri wa kuua kilichoko tomboni kwake jua akoswi ujasiri wa kukulia ela zako ata kuja kukufanyia jambo bayajamaa alokua nae kampa mimba inaelekea dogo aliendq kuflash, kimimba kidogo, sasa pale ndo hawakuelewana na jamaa ake ikabidi waachane n mda kama miezi minne, dogo alisaidiwa na dada ake ata wazazi hawajui, alivoenda kutoa alkutwa na matatizo mengne so akasafishwa, yy anachodai hajakomaa na pia anaitaji mda kutulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kuna mtu unamtunzia wife jiongeze man. Ila inawezekana ndo kipaji chako cha kulea tu tusilaumu sana,Kama kichwa cha habari kinavosomeka, mwaka 2018 nilikuatana na mdada flani JKT Kambi flani baada ya Form 6, Mungu si Athumani tupo wote mkoa mmja.
Tuliendelea kuwasliana mdada ni mwembamba kiasi, ni mzuri haswa ana sura ya kitoto japo age yake inasoma 20 yrs, binafisi nilmpenda sana, ila alikua na mahusiano.
Yote ya yote wameachana na mtu wake anachoniambia akitaka kumkabidhi mtu moyo basi atanikabidhi mimi, kila siku jioni tuonaonana, nampa nguo anafua, anapapenda sana na ninapokaa anasema ni pazuri sana.
Akiwa na mambo yake ananiambia imefkia hatua ananiagiza hadi chupi, ila tatizo hataki anasema nimsubilie akitaka kuingia kwenye mahusiano, kuna mambo yalimtokea japo alinismulia ila sasa kaka karibia nakata tamaa.
Hela ya kula hainipgi chenga Mungu anajalia, akihitaji hata 50k, nampa mda huo huo na hela naitafuta na anajua nina hela japo sio kivile na mpenzi sina maana maisha yangu ni ya kutafuta, ila huyu msichana nitamkosa kisa kukata tamaa japo yeye ndo ananiamsha kila siku. Ntamkatia tamaa japo ni mzuri
Hapa ndo umezidi kuzingua mkuu bora hata usingesema .Afya yake imetetereka kisa abortion jitahidi mkuu akiwa sawa watarudiana tena wewe sijui utajiweka wapjamaa alokua nae kampa mimba inaelekea dogo aliendq kuflash, kimimba kidogo, sasa pale ndo hawakuelewana na jamaa ake ikabidi waachane n mda kama miezi minne, dogo alisaidiwa na dada ake ata wazazi hawajui, alivoenda kutoa alkutwa na matatizo mengne so akasafishwa, yy anachodai hajakomaa na pia anaitaji mda kutulia
Sent using Jamii Forums mobile app