Mmmh Mmmh.... Unampango gani nae?jamaa alokua nae kampa mimba inaelekea dogo aliendq kuflash, kimimba kidogo, sasa pale ndo hawakuelewana na jamaa ake ikabidi waachane n mda kama miezi minne, dogo alisaidiwa na dada ake ata wazazi hawajui, alivoenda kutoa alkutwa na matatizo mengne so akasafishwa, yy anachodai hajakomaa na pia anaitaji mda kutulia
Sent using Jamii Forums mobile app
yap naweza n mzuri na namkubali sana hayo ni matatizo ya kawaida angekua na mtoto kidogo lingekuwa tatizoMmmh Mmmh.... Unampango gani nae?
Hata akikikukubali utaweza mvumilia Japo umefahamu ukweli wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikiliza moyo wako... Kama ni kweli alivyo kueleza, anapaswa kupata muda wa kusahau Kilicho mtokea. Punguza garama zisizo za lazima kwake...yap naweza n mzuri na namkubali sana hayo ni matatizo ya kawaida angekua na mtoto kidogo lingekuwa tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo sawaSikiliza moyo wako... Kama ni kweli alivyo kueleza, anapaswa kupata muda wa kusahau Kilicho mtokea. Punguza garama zisizo za lazima kwake...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha...eti hiyo hapo chukuaKuna sehemu una feli.
Demu anakuja kwako, anafua ngua, anakula pesa yako.
Braza Mungu akupe nini, unataka aje akwambie hiyo hapo chukua.... Jiongezee

Mpwa kwan ww ndo huyo kwenye avatar?Kama kichwa cha habari kinavosomeka, mwaka 2018 nilikuatana na mdada flani JKT Kambi flani baada ya Form 6, Mungu si Athumani tupo wote mkoa mmja.
Tuliendelea kuwasliana mdada ni mwembamba kiasi, ni mzuri haswa ana sura ya kitoto japo age yake inasoma 20 yrs, binafisi nilmpenda sana, ila alikua na mahusiano.
Yote ya yote wameachana na mtu wake anachoniambia akitaka kumkabidhi mtu moyo basi atanikabidhi mimi, kila siku jioni tuonaonana, nampa nguo anafua, anapapenda sana na ninapokaa anasema ni pazuri sana.
Akiwa na mambo yake ananiambia imefkia hatua ananiagiza hadi chupi, ila tatizo hataki anasema nimsubilie akitaka kuingia kwenye mahusiano, kuna mambo yalimtokea japo alinismulia ila sasa kaka karibia nakata tamaa.
Hela ya kula hainipgi chenga Mungu anajalia, akihitaji hata 50k, nampa mda huo huo na hela naitafuta na anajua nina hela japo sio kivile na mpenzi sina maana maisha yangu ni ya kutafuta, ila huyu msichana nitamkosa kisa kukata tamaa japo yeye ndo ananiamsha kila siku. Ntamkatia tamaa japo ni mzuri

mbona mko kwenye mahusiano ? au mm sielewi maana ya mahusiano ? nyie mko kwenye mahusiano ila sio ya kimapenzi.furahia hiyo hatua na mambo mengine kaza si mpaka afungue mdomoKama kichwa cha habari kinavosomeka, mwaka 2018 nilikuatana na mdada flani JKT Kambi flani baada ya Form 6, Mungu si Athumani tupo wote mkoa mmja.
Tuliendelea kuwasliana mdada ni mwembamba kiasi, ni mzuri haswa ana sura ya kitoto japo age yake inasoma 20 yrs, binafisi nilmpenda sana, ila alikua na mahusiano.
Yote ya yote wameachana na mtu wake anachoniambia akitaka kumkabidhi mtu moyo basi atanikabidhi mimi, kila siku jioni tuonaonana, nampa nguo anafua, anapapenda sana na ninapokaa anasema ni pazuri sana.
Akiwa na mambo yake ananiambia imefkia hatua ananiagiza hadi chupi, ila tatizo hataki anasema nimsubilie akitaka kuingia kwenye mahusiano, kuna mambo yalimtokea japo alinismulia ila sasa kaka karibia nakata tamaa.
Hela ya kula hainipgi chenga Mungu anajalia, akihitaji hata 50k, nampa mda huo huo na hela naitafuta na anajua nina hela japo sio kivile na mpenzi sina maana maisha yangu ni ya kutafuta, ila huyu msichana nitamkosa kisa kukata tamaa japo yeye ndo ananiamsha kila siku. Ntamkatia tamaa japo ni mzuri
ila pesa zako zinaguswa ? jiongeze au jipige pige kifua na ujiambie acha upumbavuu na kofi moja zitoo
ndo aje kukomalia kwako ?jamaa alokua nae kampa mimba inaelekea dogo aliendq kuflash, kimimba kidogo, sasa pale ndo hawakuelewana na jamaa ake ikabidi waachane n mda kama miezi minne, dogo alisaidiwa na dada ake ata wazazi hawajui, alivoenda kutoa alkutwa na matatizo mengne so akasafishwa, yy anachodai hajakomaa na pia anaitaji mda kutulia
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahaha Mo11 mpaka unataka umpigeunazidi kunikera bora ukae kimya
zwazwa alafu bongo zozo alooo nimecheka kichizi.We we ni zwazwa BongoZozo
hili ni la kulipiga tu kwa ujinga wake