Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,782
- 21,010
na hizo fisi anapelekewa msela kiulaini akimaliza kukata uno. 😂wajinga mpo wengi kweli
inawezekana wewe upo kwenye kusubirishwa ila kuna mjanja anabenjuka mpaka mpalangeni anapelekwa
na hizo fisi anapelekewa msela kiulaini akimaliza kukata uno. 😂wajinga mpo wengi kweli
inawezekana wewe upo kwenye kusubirishwa ila kuna mjanja anabenjuka mpaka mpalangeni anapelekwa
Hataki kuguswa hapo kwako ni photo studio ama?
Kuna kumma juzi nimempa shit, mambo yake ya kishoga kama hayo. Demu ambaye anajali maslahi yake tu yawe mapana yangu yawe yamekonda hafai. Ni kumpa live tu kama vipi apige zake bunda tu, kwani kitu gani bana.yeye anasema ananipenda nimpe mda kidogo tatizo mm nna haraka na mambo ya kuvumilia siwezi, sema hela nakata sitoi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kumma juzi nimempa shit, mambo yake ya kishoga kama hayo. Demu ambaye anajali maslahi yake tu yawe mapana yangu yawe yamekonda hafai. Ni kumpa live tu kama vipi apige zake bunda tu, kwani kitu gani bana.
Mwanaume lazma uwe mtu wa mikazo.
Kama kichwa cha habari kinavosomeka, mwaka 2018 nilikuatana na mdada flani JKT Kambi flani baada ya Form 6, Mungu si Athumani tupo wote mkoa mmja.
Tuliendelea kuwasliana mdada ni mwembamba kiasi, ni mzuri haswa ana sura ya kitoto japo age yake inasoma 20 yrs, binafisi nilmpenda sana, ila alikua na mahusiano.
Yote ya yote wameachana na mtu wake anachoniambia akitaka kumkabidhi mtu moyo basi atanikabidhi mimi, kila siku jioni tuonaonana, nampa nguo anafua, anapapenda sana na ninapokaa anasema ni pazuri sana.
Akiwa na mambo yake ananiambia imefkia hatua ananiagiza hadi chupi, ila tatizo hataki anasema nimsubilie akitaka kuingia kwenye mahusiano, kuna mambo yalimtokea japo alinismulia ila sasa kaka karibia nakata tamaa.
Hela ya kula hainipgi chenga Mungu anajalia, akihitaji hata 50k, nampa mda huo huo na hela naitafuta na anajua nina hela japo sio kivile na mpenzi sina maana maisha yangu ni ya kutafuta, ila huyu msichana nitamkosa kisa kukata tamaa japo yeye ndo ananiamsha kila siku. Ntamkatia tamaa japo ni mzuri
Acha ujinga embu futa uzi wako huu
uko sahihi kabisaKwa sasa, huyo mdada akikuomba hela usimpe, mwambie huna hela, uone kama hajakuacha, nahisi she is using u financially, wake up!! Jstar1
nawapa sana mkuu, ata jana nmewapaMr. Pesa ipo, je wazazi wako unawapa pesa hizo? Angalia kijana wazazi ndio kila kitu katika dunia hii, watunze upate baraka na kheir nyingi duniani.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
uko sahihiForm six umemaliza 2018 jkt umeingia 2018 tena mujibu dah ww bado chalii sana aisee
121.

cjui ww ungekuwa na miaka mingapia apo...ila any way mpige mashine uyo dem vijana wa sikuizi mnakwama wapi ivi ww jkt ukufundishwa ujanja polini UP...ILI somo ukulielewa vzr eeeh...1997, ndo nmezariwa mwezi X, huyu dem kazariwa 1999Mm dalasa la saba nimemaliza 1997 kama ningeendela na shule form six ningemaliza 2004cjui ww ungekuwa na miaka mingapia apo...ila any way mpige mashine uyo dem vijana wa sikuizi mnakwama wapi ivi ww jkt ukufundishwa ujanja polini UP...ILI somo ukulielewa vzr eeeh...
121.
Pamoja na kwenda JKT bado akili yako imelala sana.Kama kichwa cha habari kinavosomeka, mwaka 2018 nilikuatana na mdada flani JKT Kambi flani baada ya Form 6, Mungu si Athumani tupo wote mkoa mmja.