hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,386
I see !! Halafu dm ufungue jamani 😁Enjoy maisha ni haya haya!
I see !! Halafu dm ufungue jamani 😁Enjoy maisha ni haya haya!
Hapa sebuleni ndo Penyewe!!!I see !! Halafu dm ufungue jamani 😁
😁 Watoto wengi sana hapaHapa sebuleni ndo Penyewe!!!
Vitoto vyenyewe vya siku hizi vimekomaa kuliko hata watu wazima!!😁 Watoto wengi sana hapa
Kuna zawadi yako there , Uje uichukueVitoto vyenyewe vya siku hizi vimekomaa kuliko hata watu wazima!!
X wangu alikuwa anaficha zawadi ndani halafu akiondoka anakupigia simu funua sehemu flani!!Kuna zawadi yako there , Uje uichukue
Sidhani kama hoja yake ni hiyoHuyu ni wale jamaa wanasemaga "hakuna mwanamke asiyegongwa nje"
Wanadhani tabia za mama zao na wake zao ni wanawake wooote wanazo
Mbona umemkasirikia Mch wa watu? Mlikuwa kwenye competition ya kumuoa huyo dada akakushinda nini? Tuweke wazi!Huyo mchungaji anaitwa Leonard Nombo
Kaamua kujilipua kwa kuoa pisi kali.
Eti kinajimwambafai kabisa kuwa kimewazidi kete wanaume wengine.
Mimi yangu macho na masikio tu.
You're welcome bebe 🥰🥰X wangu alikuwa anaficha zawadi ndani halafu akiondoka anakupigia simu funua sehemu flani!!
Hii nimeipenda🤗🤗🤗🤗