Huyu mchungaji nae soon atalia kama MC Pilipili

Huyu mchungaji nae soon atalia kama MC Pilipili

Kabisa
Familia zinatofautiana sana
Katika kutembea kwangu nilifika pahala....mama ana vijana watu wazima lakini cha ajabu wako huru sana kuzungumzia mambo ya ngono...ikafika pahala jamaa akaniunganishia mama yake...ila machine nikaikuta alhamdulilah kitu mnato.
Acha basiii 😁😁😁🙌
 
Aliyekuambia wanawake wazuri hawaruhusiwi kuolewa ni nani, kilichoangalia ni tabia njema, ucha Mungu, upendo...
 
Huyo mchungaji anaitwa Leonard Nombo
Kaamua kujilipua kwa kuoa pisi kali.
Eti kinajimwambafai kabisa kuwa kimewazidi kete wanaume wengine.
Mimi yangu macho na masikio tu.
Hivi huyo shortie ndiye Pilipili?
 
Aliyekuambia wanawake wazuri hawaruhusiwi kuolewa ni nani, kilichoangalia ni tabia njema, ucha Mungu, upendo...
Sema hawaruhusiwi kugongewa sio kuolewa yaan utamuoa ila wajuba watakua wanamgonga kisawasawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom