Huyu Mchezaji Hajui Kuandika Mkataba Atauelewa kweli?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Wakuu Wasalaamu.....!!!

Leo nimeona mchezaji Kutokea Toto African akisign mkataba wa kujiunga na AZAM FC kwa mkataba wa miaka 2...Anaitwa WAZIRI JUNIOR lakini chakushangaza ni jinsi alivyokuwa akisign mkataba wake huku akiwa amezungukwa na Watu

Amesign kwa kutumia Dole gumba...Na hii sahii hutumiwa na wale watu wasio Jua kusoma na kuandika ndio huchovya kidole gumba kwenye wino na kuweka sehemu ya sahihi!

Sasa swali ninalo jiuliza ni Je huyu mchezaji kama hajui kusoma na Kuandika Je mkataba wake atakuwa ameuelewa kweli au ndio wale huja kusumbua watu kwa mikataba?
2017-06-05+21.27.34.png
 
Kipaji kina nguvu kuliko makaratasi tulisoma shule.
Kama una pesa kusoma ukiamua hata leo unaanza.

Dole gumba halina maana mtu hajui kusoma, ni vema ukatambua alama za vidole vyako hazifanani na mtu yeyote ndio maana ukiweka dole gumba hakuna wa kufoji, sahihi yako inaweza kuigizwa na mtu mwingine.
 
Bila shaka we ni mfuatilia michezo ambaye ukupitia kucheza.

Dole gumba linaanza kuwekwa toka ligi ya daraja la nne.
 
Kwenye hii mikataba ya uswahilini huwa ni combination ya sign na dole gumba. Ndiyo common practice.
 
Wakuu Wasalaamu.....!!!

Leo nimeona mchezaji Kutokea Toto African akisign mkataba wa kujiunga na AZAM FC kwa mkataba wa miaka 2...Anaitwa WAZIRI JUNIOR lakini chakushangaza ni jinsi alivyokuwa akisign mkataba wake huku akiwa amezungukwa na Watu

Amesign kwa kutumia Dole gumba...Na hii sahii hutumiwa na wale watu wasio Jua kusoma na kuandika ndio huchovya kidole gumba kwenye wino na kuweka sehemu ya sahihi!

Sasa swali ninalo jiuliza ni Je huyu mchezaji kama hajui kusoma na Kuandika Je mkataba wake atakuwa ameuelewa kweli au ndio wale huja kusumbua watu kwa mikataba?View attachment 519873
Mkuu wewe ndio umeonesha "upumbavu" wa hali ya juu kabisa katika suala hili
 
Kuhusu kusoma usipate tabu huyu kijana anajua na kashafika mpaka kidato cha 4, kuhusu dole gumba ni dhahiri bado hujui umuhimu wake kwenye mikataba na ukijua utajicheka mwenyewe.
 
Wakuu Wasalaamu.....!!!

Leo nimeona mchezaji Kutokea Toto African akisign mkataba wa kujiunga na AZAM FC kwa mkataba wa miaka 2...Anaitwa WAZIRI JUNIOR lakini chakushangaza ni jinsi alivyokuwa akisign mkataba wake huku akiwa amezungukwa na Watu

Amesign kwa kutumia Dole gumba...Na hii sahii hutumiwa na wale watu wasio Jua kusoma na kuandika ndio huchovya kidole gumba kwenye wino na kuweka sehemu ya sahihi!

Sasa swali ninalo jiuliza ni Je huyu mchezaji kama hajui kusoma na Kuandika Je mkataba wake atakuwa ameuelewa kweli au ndio wale huja kusumbua watu kwa mikataba?View attachment 519873
Kila mkataba una sehemu ya dole gumba hata uwe profesa.Ile ndo inathibitisha ni wewe maana ni fingerprint.
 
Back
Top Bottom