Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Kalishwa ndoa ya kimakonde huyoo!limbwata limemkolea!!!!
Sio limbwata dada angu.
Niko na akili zangu timamu kabisa.

Ila kiukweli uyu mwanamke sex ndo suala linaloniweka kwake mpk leo hii.

Kwa tabia zake mbovu mbovu ningekua nishampiga chini MDA Sana.

Can u imagine, mdg wake ni mrembo kuliko yeye na anaonyesha kunipenda sana na ana utu Sana.
Ila Sina feelings nae kabisa linapokuja suala zima la hamu ya kusex nae.
 
Unajua uyu mwanamke hata simpendi kivile Kama nnavompenda wife wang, ndo maana akizingua Namimi namzingua vile vile.

Sema kwenye suala la sex nmeshindwa kabisa kumpata mbadala wake.

She's very special in this area.
Sijui hata nielezeje niweze eleweka mkuu.

Kuna MDA namzingua kwelikweli na nasema apa tunaachana, ila nnapokua na nyege mtu wa kwanza kumuwazia Ni yeye.

Ndo maana Kuna MDA kweli naona napoteza Sana pesa&muda sn kwake,

ila akili inanambia nichukulie POA TU maana sijapata bado mbadala wake.
Ila Akipatikana mi napiga chini fasta.

Ngoja niendelee kukimbizana na uyu uyu msumbufu wangu mkuu, tutanyooshana hivo hivo mpk kitakapoeleleka mbele ya Safar.
Sio bure mkuu! K imemiminiwa kitu ukitumbukia husikii kitu mzee, pole na changamoto hiyo.
 
Basi Mwanamke yule akanitafuta anagomba kwann nmefanya vile, nmemdharau sana, nmeona ela yake hainathaman, sio utu ule yeye kachangia kwa Nia njema maana ananipenda. Nkamwambia tutayazungumza nikisharudi. Nikakata sim.

Sasa kwa bahat mbaya nilivoenda kupakia, nkakuta Bei za vitu zimepanda Sana uko. Ikabd Ile bajet nlotenga kununulia material za ujenz niongeze nichukue mzigo wa duka Kama nilivopanga. Nkasema huu ujenz upo ntaendelea nao baadae. Nizungushe kwanza. Afu vitu vingine nkavikosa vya muhimu nkavikosa ikabid nirudi baada ya siku 5 tu badala ya wiki 2 Kama nilivopanga awali.

Sasa Nilivorudi nkakuta mwenzangu kanuna, Basi ukawa mzozo akilalamika kwann nmeukataa mchanga wake. Yakawa Kama yameisha.
Tukasex kisha nikaondoka bila KUACHA posho ya meza.

Baada ya siku 2 Tena nkaenda kusex nae, Kisha nkaondoka bila KUACHA posho ya meza.
Ile natoka mlangoni Akanivuta kusema
"Hivi wee Mwanaume unanichukuliaje Mimi? Umeniona mi takataka Sana sio?"

Nkauliza "kwann?"

Akasema "Yaan unakuja,unaondoka TU hata ela ya kula huachi.
Kwenye Ujenzi nako sikuelewi elewi naona umerudi ila Sioni material wala ukiendeleza ujenzi
Ilianza unatoa elfu 15, ukaja elfu 5, sikuhizi naona huachi KABISA.
Hivi wee unahisi mi naishije hapa ndani? Au nimekua jini Mimi?"

Nikawa nimecheka nikamwambia
"kwani Maneno yote Ayo yanatoka wapi mpnz wang, wee sinilishakuachia Ela ya kula wiki 2? , leo wiki ya pili ndo imeanza unaniombaje Ela sasa?"

Akasema,
"Unaemchekea Nani,hapa utoki Lazima unaichie Ela..." Uku ananisachi.

Nikawa namtoa hatoki anaendelea kunikagua mifukoni, nikona uyu mpumbavu.
Nikamziba Kofi, akaiachia suruali yangu.

Nikamwambia,
"ukome na uwe na adabu unapokua unaongea na mm, tabia ya kunisachi Ni ya kimalaya na ife Mara Mona. Usije unarudia huo upuuzi Tena"

Basi nikaondoka zangu.
Sasa kesho yake Sina hili Wala Lile wakapitishwa samaki wazur Sana dukan kwangu.
Nikanunua mafungu mawili, moja likapelekwa kwangu jingine nikamtuma bodaboda wake ampeleke mchepuko kwake.

Basi baadae boda Akanambia kafikisha mzigo, ikabd Nimpigie kumjulisha achukue samak mmoja anichemshie supu jion ntapitia kunywa. Akawa hapokei.
Basi nikamtumia sms.

Ile jion nikapitia kwake kunywa supu yangu, Ila nafika nagonga akaja mlangon akasimama wima.

Akasema,
"Eeh baba wee, ishia uko. Ukitaka kuingia nyumba hii tekeleza nnayoyataka"

Nkamuuliza "yapi Ayo"
Akasema
" kwanza-uwe unanipa elfu 20 yakula kila siku
Pili- unimalizie ile nyumba ndani ya mwezi huu
Tatu- uweke zamu yakulala kwangu.
Huwez kutekeleza Ayo Basi ISHIA HAPO HAPO NJE"

Nkamwambia "sawa"

AkAuliza
"Iyo sawa maana ake Nini, afu ilo jibu lako silipendi linanikera Sana"

Nkamwambia ,
"Sawa maana ake siwez kutelekeza Ayo unayoyahitaji kwa Sasa"

Akasema "aya, ishia huko huko. Wako wanaume wengi sana Kama wewe wanaoweza kutimiza nnayoyahitaji"

Nkamwambia "sawa wakakutimizie Basi"

Akasema " akarud ndan na kufunga mlango wake"

Sasa,
Nikabaki pale nje nimeduwaa, maswali mengi kichwani. Kisha nikaenda zangu nyumbani.

Ni siku ya 5 Sasa karudi kwenye ule utaratibu wake w zamani wa kurusha vijembe status,

Naziona status zake kibao kila Mara, nabaki najiuliza.

Hivi uyu mwanamke ananichukuliaje kwanza?
Hivi anajiona special Sana eeh?
Hivi anajua kua hapo anapokaa Kodi anahamia nmelipia mm?
Hivi anajua Apo anapojimwambafai nishapita na mdg wake?
Hivi anajua kwamba Apo anapofanya kazi yupo kwa mgongo wangu mimi
Au nimuundie zengwe Tena ahangaike na Dunia ili akili imkae

Wakuu mnisaidieni
Je, NIMWAMBIE UKWELI AU NIMUACHE AENDEEE KUJIMWAMBAFAI

Mwisho
Umerogwaa ukarogekaa!huna pa kwenda!ushafika weyee!!;Huyo Dada mganga wake mkali Sana'a!
 
Achana nae uyo mkuu tafuta anaejielewa ila hiyo posho ya meza uzinzi kazi sanaa
Tena KAZI Kubwa Sana.
Seema ndo hivyo Sasa tutafanyaje, tayar wanaume tushaumbwa mateso.
Tunapambana hivo hivo mkuu
 
20211011_151840.jpg
 
Kuna akili inaniambia hii ni chai tu, tafuta chapati mbili kabla haijapoa...

Kuna akili inaniambia hii ni kisa cha kweli, kwa jinsi ulivyokisimulia...

Sasa iwe kweli au chai, mkuu usitumie kichwa kufugia nywele tu...
Mimi pale alivyoshindwa kumla mdogo wa mchepuko alivyorudi bar usiku nikaona ni Chai hakuna mwanaume wa hivyo
 
Boss huyo mchepuko akija kupata mimba utaharibu ndoa yako,atakusumbua sana na mwanamke akiwa na damu yako huna ujanja, huyo na mdogo wake wanakupendea pesa tu, ijali familia yako. Ila kama unataka watoto wenye mama tofauti endelea na huyo mchepuko lkn pia tuwapende wake zetu maana wanavumilia mengi sana, hata ukiwa na mchepuko usimpe hadhi ya kama mke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom