Kalishwa ndoa ya kimakonde huyoo!limbwata limemkolea!!!!Unawezaje kuwa na mtu wa namna hiyo? Ana kitu gani ambacho wengine hawana hadi kumngangania hivyo?
Sio limbwata dada angu.Kalishwa ndoa ya kimakonde huyoo!limbwata limemkolea!!!!
Sio bure mkuu! K imemiminiwa kitu ukitumbukia husikii kitu mzee, pole na changamoto hiyo.Unajua uyu mwanamke hata simpendi kivile Kama nnavompenda wife wang, ndo maana akizingua Namimi namzingua vile vile.
Sema kwenye suala la sex nmeshindwa kabisa kumpata mbadala wake.
She's very special in this area.
Sijui hata nielezeje niweze eleweka mkuu.
Kuna MDA namzingua kwelikweli na nasema apa tunaachana, ila nnapokua na nyege mtu wa kwanza kumuwazia Ni yeye.
Ndo maana Kuna MDA kweli naona napoteza Sana pesa&muda sn kwake,
ila akili inanambia nichukulie POA TU maana sijapata bado mbadala wake.
Ila Akipatikana mi napiga chini fasta.
Ngoja niendelee kukimbizana na uyu uyu msumbufu wangu mkuu, tutanyooshana hivo hivo mpk kitakapoeleleka mbele ya Safar.
Nakubaliana na wewe, K imewekwa kitu adimu jamaa hachomoki.Kalishwa ndoa ya kimakonde huyoo!limbwata limemkolea!!!!
Umerogwaa ukarogekaa!huna pa kwenda!ushafika weyee!!;Huyo Dada mganga wake mkali Sana'a!Basi Mwanamke yule akanitafuta anagomba kwann nmefanya vile, nmemdharau sana, nmeona ela yake hainathaman, sio utu ule yeye kachangia kwa Nia njema maana ananipenda. Nkamwambia tutayazungumza nikisharudi. Nikakata sim.
Sasa kwa bahat mbaya nilivoenda kupakia, nkakuta Bei za vitu zimepanda Sana uko. Ikabd Ile bajet nlotenga kununulia material za ujenz niongeze nichukue mzigo wa duka Kama nilivopanga. Nkasema huu ujenz upo ntaendelea nao baadae. Nizungushe kwanza. Afu vitu vingine nkavikosa vya muhimu nkavikosa ikabid nirudi baada ya siku 5 tu badala ya wiki 2 Kama nilivopanga awali.
Sasa Nilivorudi nkakuta mwenzangu kanuna, Basi ukawa mzozo akilalamika kwann nmeukataa mchanga wake. Yakawa Kama yameisha.
Tukasex kisha nikaondoka bila KUACHA posho ya meza.
Baada ya siku 2 Tena nkaenda kusex nae, Kisha nkaondoka bila KUACHA posho ya meza.
Ile natoka mlangoni Akanivuta kusema
"Hivi wee Mwanaume unanichukuliaje Mimi? Umeniona mi takataka Sana sio?"
Nkauliza "kwann?"
Akasema "Yaan unakuja,unaondoka TU hata ela ya kula huachi.
Kwenye Ujenzi nako sikuelewi elewi naona umerudi ila Sioni material wala ukiendeleza ujenzi
Ilianza unatoa elfu 15, ukaja elfu 5, sikuhizi naona huachi KABISA.
Hivi wee unahisi mi naishije hapa ndani? Au nimekua jini Mimi?"
Nikawa nimecheka nikamwambia
"kwani Maneno yote Ayo yanatoka wapi mpnz wang, wee sinilishakuachia Ela ya kula wiki 2? , leo wiki ya pili ndo imeanza unaniombaje Ela sasa?"
Akasema,
"Unaemchekea Nani,hapa utoki Lazima unaichie Ela..." Uku ananisachi.
Nikawa namtoa hatoki anaendelea kunikagua mifukoni, nikona uyu mpumbavu.
Nikamziba Kofi, akaiachia suruali yangu.
Nikamwambia,
"ukome na uwe na adabu unapokua unaongea na mm, tabia ya kunisachi Ni ya kimalaya na ife Mara Mona. Usije unarudia huo upuuzi Tena"
Basi nikaondoka zangu.
Sasa kesho yake Sina hili Wala Lile wakapitishwa samaki wazur Sana dukan kwangu.
Nikanunua mafungu mawili, moja likapelekwa kwangu jingine nikamtuma bodaboda wake ampeleke mchepuko kwake.
Basi baadae boda Akanambia kafikisha mzigo, ikabd Nimpigie kumjulisha achukue samak mmoja anichemshie supu jion ntapitia kunywa. Akawa hapokei.
Basi nikamtumia sms.
Ile jion nikapitia kwake kunywa supu yangu, Ila nafika nagonga akaja mlangon akasimama wima.
Akasema,
"Eeh baba wee, ishia uko. Ukitaka kuingia nyumba hii tekeleza nnayoyataka"
Nkamuuliza "yapi Ayo"
Akasema
" kwanza-uwe unanipa elfu 20 yakula kila siku
Pili- unimalizie ile nyumba ndani ya mwezi huu
Tatu- uweke zamu yakulala kwangu.
Huwez kutekeleza Ayo Basi ISHIA HAPO HAPO NJE"
Nkamwambia "sawa"
AkAuliza
"Iyo sawa maana ake Nini, afu ilo jibu lako silipendi linanikera Sana"
Nkamwambia ,
"Sawa maana ake siwez kutelekeza Ayo unayoyahitaji kwa Sasa"
Akasema "aya, ishia huko huko. Wako wanaume wengi sana Kama wewe wanaoweza kutimiza nnayoyahitaji"
Nkamwambia "sawa wakakutimizie Basi"
Akasema " akarud ndan na kufunga mlango wake"
Sasa,
Nikabaki pale nje nimeduwaa, maswali mengi kichwani. Kisha nikaenda zangu nyumbani.
Ni siku ya 5 Sasa karudi kwenye ule utaratibu wake w zamani wa kurusha vijembe status,
Naziona status zake kibao kila Mara, nabaki najiuliza.
Hivi uyu mwanamke ananichukuliaje kwanza?
Hivi anajiona special Sana eeh?
Hivi anajua kua hapo anapokaa Kodi anahamia nmelipia mm?
Hivi anajua Apo anapojimwambafai nishapita na mdg wake?
Hivi anajua kwamba Apo anapofanya kazi yupo kwa mgongo wangu mimi
Au nimuundie zengwe Tena ahangaike na Dunia ili akili imkae
Wakuu mnisaidieni
Je, NIMWAMBIE UKWELI AU NIMUACHE AENDEEE KUJIMWAMBAFAI
Mwisho
Mpotezee tu!hizo pesa unazotumia kwa Huyo Dada kamsaidie mzazi wako kijijini upate thawabuNilipofika mbona ata Sina stress na uyu.
Nishamzoea
Hapa nafikiria kumchezesha ngoma ya kibabe tuoneshane makali.
Achana nae uyo mkuu tafuta anaejielewa ila hiyo posho ya meza uzinzi kazi sanaaNilipofika mbona ata Sina stress na uyu.
Nishamzoea
Hapa nafikiria kumchezesha ngoma ya kibabe tuoneshane makali.
Ujue mi nakuchukuliaga bonge moja la JIFISI mkuu,sasa inakuaje unakuja apa kulialia mfupa umekushindaa.....Ni True story mkuu
akili ya kawaida haiko hivi jamani kaahh!kumbe kuna mang'ombe km haya!hapo anamrudia tena soon!Nakubaliana na wewe, K imewekwa kitu adimu jamaa hachomoki.
Ha ha ha...akili ya kawaida haiko hivi jamani kaahh!kumbe kuna mang'ombe km haya!hapo anamrudia tena soon!
Ngoja tuu!!!ataleta Uzi!!!ila demu hamtaki jamaa asilani!jamaa kafa kaoza
Mimi pale alivyoshindwa kumla mdogo wa mchepuko alivyorudi bar usiku nikaona ni Chai hakuna mwanaume wa hivyoKuna akili inaniambia hii ni chai tu, tafuta chapati mbili kabla haijapoa...
Kuna akili inaniambia hii ni kisa cha kweli, kwa jinsi ulivyokisimulia...
Sasa iwe kweli au chai, mkuu usitumie kichwa kufugia nywele tu...