Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

George Michael Uledi.
Tabora, Tanzania.
June, 2021

Naweza nikasema mchakato wa ndani wa CCM wa kuchakata watia nia wa Ubunge mwaka 2020 ulikuwa bora sana pengine kuliko michakato mingi ya nyuma na pongezi za pekee ziende kwa Chama cha Mapinduzi na Serikali yake chini ya hayati JPM,Makamu wake wa Rais wa wakati hu Mh.Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu wa CCM wa wakati huo Ndugu Bashiru Ally Kakurwa....
Ule haukuwa mchakato wa kupata wagombea bali ilikuwa ni appointment tu ya watu.
 
Hivi huyu dogo nae amepita mikononi mwa Mbowe?. Alinifurahisha jinsi alivyojenga hoja za ukarabati wa viwanja vya mpira akionyesha kuwa ni suala lenye kuwezekana kufanyika.

Hazina fulani ya taifa kama Mungu akimjalia uhai mrefu.
huyu unaemsema wewe ni mwingine, mwenye hoja ya kukarabati viwanja ni Festo Sanga (Makete) ambae amepita mikononi mwa Mbowe (aliondoka cdm wakati ule na kina Shonza, )
 
Shida unasoma post na haufatilii huyu ni kiongozi anae tufaaa na tuendelee Kumuombea
 
Umekuja kujifisia hapa eti kijana mdogo, miaka 37 ni mdogo au ni kukosa akili? kijana mdogo ni under 22 wengine wote wazee
Shida hata sera ya vijana haujui mtu wa miaka 30 amemaliza masters na anakula presidential appointment unapinga nini kama sio mpuuzi
 
Mwandishi ni mtu mwenye credentials zake sio mzee wa buku tatu humu kusifia ama kuponda. Ukisoma hapo chin amejieleza ni mjeshi, habari maelezo etc. Acha roho mbaya kusema sema watu
Tatizo hampendi kuelezwa ukweli. Mnataka mtu asifiwe tu Kwa sifa za uongo. Tunasema ukweli hapa Ili ajirekebishe. Bila kusema ukweli hatajirekebisha
 
Vijana wa ufipa nyie kila kijana wa CCM ni kumchafua tuu. Hata mfanyaje Kihenzile anajiuza mwenyewe. Peleken mgombea wenu pale jimbon 2025 muone moto. Jamas is so visionary, babarabara zilizokuwa kero sana zimeanza kujengwa ukiacha miradi mikubwa ya maji igowole, Mgololo,Malangali

Ww utakuwa ni bonge la kilaza, barabara zinajengwa na mbunge mpaka useme baada ya yeye kuwa mbunge zimeanza kujengwa?
 
George Michael Uledi.
Tabora, Tanzania.
June, 2021

Naweza nikasema mchakato wa ndani wa CCM wa kuchakata watia nia wa Ubunge mwaka 2020 ulikuwa bora sana pengine kuliko michakato mingi ya nyuma na pongezi za pekee ziende kwa Chama cha Mapinduzi na Serikali yake chini ya hayati JPM,Makamu wake wa Rais wa wakati hu Mh.Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu wa CCM wa wakati huo Ndugu Bashiru Ally Kakurwa.

Kuna kitu cha kujifunza kwao kwamba kwanini michakato ya CCM ya wakati ule iliweza kuibua watu makini zaidi wenye "potential"kubwa kama ambavyo mwenyekiti wa CCM wa wakati huo hayati JPM aliwahi kusema".....nahitaji watu wenye potential...".

Moja ya hazina na Mashine ambayo iliweza kuibuliwa na mchakato ule ni Kijana wa miaka 36 na kwa sasa ana miaka 37 Mbunge wa Mufindi Kusini,David Mwakiposa Kihenzile!

KWANINI NASEMA HAYA KWA KIJANA HUYU?
1. Katika umri wake wa miaka 37 tu wa sasa ameweza kuteka "shoo" kubwa katika jamii hivyo kuonekana ni Kijana ambaye ni hazina kubwa kwa CCM na Taifa kwa ujumla!Katika umri wake wa miaka 31 alishapata nafasi ya kuwa DAS wa Jjij la Arusha kwa kuaminiwa mapema na mamlaka za Uteuzi. Kumbuka pia kijana huyu ni Rais wa Redcross Tanzania kwa sasa!
Kwa mujibu wa waliowahi mwandika kwenye Mitandao ya kijamii ndiye rais wa Redcross mdogo kuliko wote duniani na Rais TRCS wa kwanza mdogo zaidi kutokea Tanzania tangu Redcross ianzishwe Nchini mwaka 1962.

2. Pamoja na misuko suko kadha wa kadha lakini, Katika umri wake wa miaka 36 aliweza kupenya kwenye kura za maoni kwenye kinyang'anyiro cha Ubunge katika Jimbo lake na kuwa mteule wa CCM jimboni Mufindi Kusini na kupata ushindi wa kishindo wa 98% kwa mwaka 2020 na kuingia Bungeni kwa mara ya kwanza 2020.

3. Akiwa anashiriki Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya kwanza kama Mbunge aliweza kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara na Mazingira huku Kamati hiyo ikiwa na Wabunge wakongwe na haikuwa kitu cha kawaida sana kwa Kijana wa umri wa miaka 37 kuwa tayari ameshafanya haya katika Tanzania. Ni bahati iliyoje!

4. Baada ya kuweza kuonyesha Uongozi wa matokeo katika Kamati ya Bunge ya Viwanda,Biashara na Mazingira kwa muda mfupi na kuweza kuaminiwa kama Mwenyekiti wa Kamati husika aliweza kuchaguliwa tena na Bunge nzima kuwa miongoni mwa Wenyeviti watatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kiti hiki cha Mwenyekiti wa Bunge hakijawahi kukaliwa na Kijana wa aina yake kwa maana ya umri tokea Uhuru wa Tanzania,kumbuka kiti hiki kilikuwa "special" kwa Wabunge wakongwe kama Mzee Andrew Chenge na Mzee Idd Zungu kwani angewezaje kukalia kiti hiki Kijana wa umri wake?,anaingia Bungeni kwa mara ya kwanza kumbuka!Huyu anaingia kwenye vitabu vya historia ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

5. Baada ya kuendesha mjadala wa kwanza wa Bunge kama Mwenyekiti wa Bunge ndipo mimi nilipoanza kuitafuta historia zaidi yake kwani aliendesha kwa weledi na utulivu wa hali ya juu mjadala ule.Pongezi kubwa kwa CCM kwa kutengeneza vijana wa aina ya Mh.David Kihenzile.

MIFUMO YETU ITUSAIDIE KUWAIBUA VIJANA WENGI KAMA HAWA KWA MASLAHI YA TAIFA KWANI WAPO WENGI!

Nilipofwatilia Kijana huyu David Kihenzile Mwakiposa nilikuja kugundua kuwa ni mtu ambaye tayari ameshaweza kuweka alama zake katika maeneo yote aliyopita na ndio maana anakuja kwa kasi ya ajabu!

Katika umri wa miaka 37 wa sasa tayari alishawahi kuwa mtandaji wa Kata kama sijakosea ya Ubungo na kufanya makubwa katika kata yake.Ni Kijana ambaye kila unapompa nafasi anakupa matokeo makubwa!

Nenda Chama cha Msalaba mwekundu Tanzania "Tanzania Redcross Society" uone aliyoyafanya katika kipindi cha Uongozi wake kama Rais wa Redcross Tanzania! Jambo ambalo hadi leo limevutia wengi hivyo kutamani kujiunga na kutaka kuwa sehemu ya uongozi wake kuanzia Wilaya,Mikoa mpaka Taifa.!

Natamani kuona mifumo yetu ya utambuzi unawaleta vijana wengi wa aina ya David Kihenzile katika "Platform" za utumishi katika Taifa kwani wapo wengi na wanaweza kusukuma gurudumu la maendeleo kwa haraka zaidi!

Teuzi zinazoendelea katika Taifa kwa sasa zimethibitisha kuwa Chama cha Mapinduzi na Taifa kwa jumla kuwa lina hazina kubwa ya vijana wenye uwezo wa kusukuma Tanzania kwa haraka zaidi ni suala la kuwapa nafasi tuu!

Wakati anagombea mwaka jana niliwahi andika juu yake nikitabiri makubwa kwake ambayo sehemu kubwa yameweza kutimia hata kabla ya mwaka mmoja haujaisha katika utumishi wake.

Nilipojaribu kufuatilia kwa walio karibu, aliosoma naye na aliofanya kazi nao nikabaini mambo makubwa matatu ambayo nimeona niweze kuyaandikia ili vijana wengine waweze kujifunza toka kwake.

1) Unyenyekevu na utii. Pamoja na uwezo mkubwa aliona nao Mh. David Kihenzile,karibu wote wanaomfahamu wanamwelezea kama "...ni kijana mnyenyekevu na mtii, "Hajimwambafy" wala kudharau wengine, ana heshimu walio juu yake,walio chini hata walio kwenye level moja,ni kiongozi ambaye ukiwa juu yake utafurahi maana hatataka kujiona yeye anajua zaidi ya Mkuu wake lakini pia ukiwa chini yake....",Mmoja wa watu wa karibu wanasema.

2) Maono na Mipango, nilizungumza na baadhi ya Viongozi kutoka Jijini Arusha alikofanya kazi pamoja na wale wa Redcross na wengi wanakiri ".....David ni Mtu mwenye maono na hajali kuhusu kuchelewa,yuko tayari hata kufanya jambo leo leo ambalo matunda yake atavuna baada ya miaka 10, Hili ni funzo kubwa kwa vijana kwamba wasiwe na haraka". David alikuwa Mtendaji Kata,hakujali udogo wa nafasi hiyo bali aliendelea kuifanyia kazi huku akijipanga kwa mambo makubwa mengine. "..Ukimsikiliza jinsi anavyo argue kuhusu matatizo ya Nchi na suluhu yake unaridhika kuwa CCM ina utajiri ya hazina.....".

3) Ucha Mungu, wakati vijana wengi hukata tamaa mapema, David ni kijana wa tofauti. Pale ambapo jambo lake halikufanikiwa hasiti kumtaja Mungu. Utamskia mara kadhaa akisema "Tusubiri wakati wa Mungu". Hii ni kete muhimu sana katika Uongozi wa kisasa.

4) Mh David Kihenzile inasemekana pia sio kiongozi anayeamini kwenye Kiki. Sio mtu anayefanya kazi ili kuonekana.Katika majukumu yake ni mara chache kuona anaambatana na vyombo vya habari kwa Nia ya kutafuta Political maleage. Yeye anafanya kazi na media zinamkuta kazini. Aina hii ya viongozi tunawahitaji sana katika Taifa kwa sasa!

5) Elimu na Maarifa. Ukimsikiliza Mh.David Kihenzile "anaargue" kwa takwimu zenye usahihi mkubwa usahihi.Kila akisimama kuzungumza jukwani hutakosa kutaja takwimu.Ni kijana anayejua anachoongea haongei kwa uzoefu pekee. Aidha ni muumini wa elimu ndio maana pamoja na Kuwa na Shahada lukuki bado anaifukuzia Shahada ya Uzamivu yaani (PhD).

Kuna kitu kikubwa cha kujifunza kwa vijana wengi katika Taifa toka kwake!Vijana lazima tudrive ajenda kubwa wakati huu wa Mama Samia kwani kaonyesha wazi kwamba anataka kututumia.

Mwandishi ni Kijana na Mkufunzi wa zamani Vyuo Vikuu vya Tumaini na Saut,Ofisa Habari wa zamani wa Serikali- Idara ya Habari- Maelezo,Ofisa Mwanafunzi wa zamani Chuo cha Maofisa wa Jeshi Monduli,Arusha.

+255784159968.
Picha na link kwenye moja ya michango yake kwenye mijadala Bungeni inetusisimua zaidi
 
Hakika hii ni hazina kwa

nimekuwa nikifatilia mazungumzo yake bungeni amekuwa Mbunge mwenye hoja zenye mashiko sanaa 👏naweza kusema tumebarikiwa kupata kiongozi bora kwa wanamufundi na taifa kwa ujumla🙏Hakika huyu kiongozi ni hazina kwa taifa👍Tumuunge mkono kiongozi kijana mchapakazi na mwenye maono💪🙏
Unajipigia debe ili upate uwaziri? Mbunge makini bungeni ni Kishimba na Msukuma tu. Nyie na PhD zenu za jalalani university ni ovyo kabisa.
kila mtu anamtazamo wake lakin ukimfatilia kwa ukaribu utaona ni kiongozi bora 👍haitaji ata kupigiwa debe maana anajua uongozi na nikiongozi bora 🙏hii ni hazina jamanii
 
Duh ndo wewe lzm maana umejifagilia balaa....
Ila unfortunately CCM aka majizi ya kura ni wale wale...
 
Hili bandiko Lina makosa Mengi sana katika uchambuzi wako.

Tuacheni unafiki wa kuwapa sifa za uongo Hawa viongozi vijana. Tutakuja kusababisha balaa kubwa haswa watakapokuja kupewa madaraka makubwa, sababu hawatendi haki, wanaonea wananchi kwa maslahi yao binafsi, hivyo kusababisha hata ombwe la uongozi na kuvunja amani. Ni budi Hawa viongozi waelezwe ukweli Ili wabadilike.

Mwakiposa alikua Das Arusha mjini. Alipoanza kazi yake nilipata kumwona kwenye kamat flan iliyoundwa kufatilia sakata la vibanda vya stand ndogo, ambayo kimsingi ni vya halmashauri ya Jiji.

Akiwa anafahamu kabisa ukweli KUHUSU vile vibanda, aliamua kushirikiana na watu wachache na kuwapa mamlaka ya kuhodhi vile vibanda, kuwaonea wafanyabiashara waliokua wanafanya biashara pale ambao walkua wamelipishwa kodi za mwaka bila kujali kwamba kwa vitendo vile anaikosesha serkali mapato, pia anaharibu mitaji ya watu huku akijinadi kupewa maelekezo na Rc wa wakati huo ndugu Gambo. Hata baada ya Gambo kua Rc bado Mwakiposa huku akijua ukweli alishindwa kumshauri ndugu Gambo Ili wawatendee haki wananchi.

David Mwakiposa akiwa Das alitumia mabavu kupindisha Sheria ya manunuzi. Halmashauri ya Jiji iliandaa mchakato wa tenda na WANANCHI wakashiriki, na wakalipishwa Tshs 50,000, lakini huyu DAS alisema huo mchakato ni batili huku akijua kabisa halmashauri ya Jiji ilikua sahihi. WANANCHI hawakurudishiwa pesa yao (dhulma) na akifatwa alkua anawatisha.

Yani completely aliingilia kazi ya mkurugenzi na mayor wa Jiji. Aliamua kutumia madaraka yake vibaya kuwapa watu wachache sana (madalali) mamlaka ya kuonea wafanyabiashara, bila kujali athari KUBWA za kuharibu ajira na mitaji ya wafanyabiashara, pia kuikosesha serkali mapato. Hata baada ya mkurugenzi wa Jiji wa wakati huo kutengeneza MOU (maridhiano) kati ya halmashauri, wafanyabiashara na jiji Mwakiposa alkua mkali sana, akasema hayatambui maridhiano Yale na wafanyabiashara wafukuzwe.

WANANCHI wengi wa Arusha wanakumbuka, alkua mtu wa kudemka, dharau, watu wazima anawakosea adabu hadharani. Kuna siku niliskia anamwita mama mmoja eti muhuni yule. Mama mwenye familia yake anamtukana muhuni tu yule kisa ni single mother . Ni muumini mzuri sana wa mfumo dume.

Sio mtu wa misimamo, ni hubadilika kama kinyonga kwa mashinikizo. Mara nyingi katika maamuzi yake akimtaja zaidi Rc kuliko Dc ambae ndio boss wake. Alkua anam_miss lead Daqaro.

Nasisitiza tusiwe wanafki kuwapa sifa za uongo Hawa viongozi haswa vijana. Ni muhimu waambiwe ukweli Ili wajirekebishe.

Mwakiposa anatakiwa afanyie KAZI hayo hapo juu Ili aweze kua kiongozi mzuri, mtenda haki wa baadae.

Tuweni wakweli bila kupepesa macho. Nchi ni yetu sote, na uongozi ni talanta
Amelikoroga,alinywe sasa. Kuja kujisifia upumbavu hapa
 
George Michael Uledi.
Tabora, Tanzania.
June, 2021

Naweza nikasema mchakato wa ndani wa CCM wa kuchakata watia nia wa Ubunge mwaka 2020 ulikuwa bora sana pengine kuliko michakato mingi ya nyuma na pongezi za pekee ziende kwa Chama cha Mapinduzi na Serikali yake chini ya hayati JPM,Makamu wake wa Rais wa wakati hu Mh.Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu wa CCM wa wakati huo Ndugu Bashiru Ally Kakurwa.

Kuna kitu cha kujifunza kwao kwamba kwanini michakato ya CCM ya wakati ule iliweza kuibua watu makini zaidi wenye "potential"kubwa kama ambavyo mwenyekiti wa CCM wa wakati huo hayati JPM aliwahi kusema".....nahitaji watu wenye potential...".

Moja ya hazina na Mashine ambayo iliweza kuibuliwa na mchakato ule ni Kijana wa miaka 36 na kwa sasa ana miaka 37 Mbunge wa Mufindi Kusini,David Mwakiposa Kihenzile!

KWANINI NASEMA HAYA KWA KIJANA HUYU?
1. Katika umri wake wa miaka 37 tu wa sasa ameweza kuteka "shoo" kubwa katika jamii hivyo kuonekana ni Kijana ambaye ni hazina kubwa kwa CCM na Taifa kwa ujumla!Katika umri wake wa miaka 31 alishapata nafasi ya kuwa DAS wa Jjij la Arusha kwa kuaminiwa mapema na mamlaka za Uteuzi. Kumbuka pia kijana huyu ni Rais wa Redcross Tanzania kwa sasa!
Kwa mujibu wa waliowahi mwandika kwenye Mitandao ya kijamii ndiye rais wa Redcross mdogo kuliko wote duniani na Rais TRCS wa kwanza mdogo zaidi kutokea Tanzania tangu Redcross ianzishwe Nchini mwaka 1962.

2. Pamoja na misuko suko kadha wa kadha lakini, Katika umri wake wa miaka 36 aliweza kupenya kwenye kura za maoni kwenye kinyang'anyiro cha Ubunge katika Jimbo lake na kuwa mteule wa CCM jimboni Mufindi Kusini na kupata ushindi wa kishindo wa 98% kwa mwaka 2020 na kuingia Bungeni kwa mara ya kwanza 2020.

3. Akiwa anashiriki Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya kwanza kama Mbunge aliweza kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara na Mazingira huku Kamati hiyo ikiwa na Wabunge wakongwe na haikuwa kitu cha kawaida sana kwa Kijana wa umri wa miaka 37 kuwa tayari ameshafanya haya katika Tanzania. Ni bahati iliyoje!

4. Baada ya kuweza kuonyesha Uongozi wa matokeo katika Kamati ya Bunge ya Viwanda,Biashara na Mazingira kwa muda mfupi na kuweza kuaminiwa kama Mwenyekiti wa Kamati husika aliweza kuchaguliwa tena na Bunge nzima kuwa miongoni mwa Wenyeviti watatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kiti hiki cha Mwenyekiti wa Bunge hakijawahi kukaliwa na Kijana wa aina yake kwa maana ya umri tokea Uhuru wa Tanzania,kumbuka kiti hiki kilikuwa "special" kwa Wabunge wakongwe kama Mzee Andrew Chenge na Mzee Idd Zungu kwani angewezaje kukalia kiti hiki Kijana wa umri wake?,anaingia Bungeni kwa mara ya kwanza kumbuka!Huyu anaingia kwenye vitabu vya historia ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

5. Baada ya kuendesha mjadala wa kwanza wa Bunge kama Mwenyekiti wa Bunge ndipo mimi nilipoanza kuitafuta historia zaidi yake kwani aliendesha kwa weledi na utulivu wa hali ya juu mjadala ule.Pongezi kubwa kwa CCM kwa kutengeneza vijana wa aina ya Mh.David Kihenzile.

MIFUMO YETU ITUSAIDIE KUWAIBUA VIJANA WENGI KAMA HAWA KWA MASLAHI YA TAIFA KWANI WAPO WENGI!

Nilipofwatilia Kijana huyu David Kihenzile Mwakiposa nilikuja kugundua kuwa ni mtu ambaye tayari ameshaweza kuweka alama zake katika maeneo yote aliyopita na ndio maana anakuja kwa kasi ya ajabu!

Katika umri wa miaka 37 wa sasa tayari alishawahi kuwa mtandaji wa Kata kama sijakosea ya Ubungo na kufanya makubwa katika kata yake.Ni Kijana ambaye kila unapompa nafasi anakupa matokeo makubwa!

Nenda Chama cha Msalaba mwekundu Tanzania "Tanzania Redcross Society" uone aliyoyafanya katika kipindi cha Uongozi wake kama Rais wa Redcross Tanzania! Jambo ambalo hadi leo limevutia wengi hivyo kutamani kujiunga na kutaka kuwa sehemu ya uongozi wake kuanzia Wilaya,Mikoa mpaka Taifa.!

Natamani kuona mifumo yetu ya utambuzi unawaleta vijana wengi wa aina ya David Kihenzile katika "Platform" za utumishi katika Taifa kwani wapo wengi na wanaweza kusukuma gurudumu la maendeleo kwa haraka zaidi!

Teuzi zinazoendelea katika Taifa kwa sasa zimethibitisha kuwa Chama cha Mapinduzi na Taifa kwa jumla kuwa lina hazina kubwa ya vijana wenye uwezo wa kusukuma Tanzania kwa haraka zaidi ni suala la kuwapa nafasi tuu!

Wakati anagombea mwaka jana niliwahi andika juu yake nikitabiri makubwa kwake ambayo sehemu kubwa yameweza kutimia hata kabla ya mwaka mmoja haujaisha katika utumishi wake.

Nilipojaribu kufuatilia kwa walio karibu, aliosoma naye na aliofanya kazi nao nikabaini mambo makubwa matatu ambayo nimeona niweze kuyaandikia ili vijana wengine waweze kujifunza toka kwake.

1) Unyenyekevu na utii. Pamoja na uwezo mkubwa aliona nao Mh. David Kihenzile,karibu wote wanaomfahamu wanamwelezea kama "...ni kijana mnyenyekevu na mtii, "Hajimwambafy" wala kudharau wengine, ana heshimu walio juu yake,walio chini hata walio kwenye level moja,ni kiongozi ambaye ukiwa juu yake utafurahi maana hatataka kujiona yeye anajua zaidi ya Mkuu wake lakini pia ukiwa chini yake....",Mmoja wa watu wa karibu wanasema.

2) Maono na Mipango, nilizungumza na baadhi ya Viongozi kutoka Jijini Arusha alikofanya kazi pamoja na wale wa Redcross na wengi wanakiri ".....David ni Mtu mwenye maono na hajali kuhusu kuchelewa,yuko tayari hata kufanya jambo leo leo ambalo matunda yake atavuna baada ya miaka 10, Hili ni funzo kubwa kwa vijana kwamba wasiwe na haraka". David alikuwa Mtendaji Kata,hakujali udogo wa nafasi hiyo bali aliendelea kuifanyia kazi huku akijipanga kwa mambo makubwa mengine. "..Ukimsikiliza jinsi anavyo argue kuhusu matatizo ya Nchi na suluhu yake unaridhika kuwa CCM ina utajiri ya hazina.....".

3) Ucha Mungu, wakati vijana wengi hukata tamaa mapema, David ni kijana wa tofauti. Pale ambapo jambo lake halikufanikiwa hasiti kumtaja Mungu. Utamskia mara kadhaa akisema "Tusubiri wakati wa Mungu". Hii ni kete muhimu sana katika Uongozi wa kisasa.

4) Mh David Kihenzile inasemekana pia sio kiongozi anayeamini kwenye Kiki. Sio mtu anayefanya kazi ili kuonekana.Katika majukumu yake ni mara chache kuona anaambatana na vyombo vya habari kwa Nia ya kutafuta Political maleage. Yeye anafanya kazi na media zinamkuta kazini. Aina hii ya viongozi tunawahitaji sana katika Taifa kwa sasa!

5) Elimu na Maarifa. Ukimsikiliza Mh.David Kihenzile "anaargue" kwa takwimu zenye usahihi mkubwa usahihi.Kila akisimama kuzungumza jukwani hutakosa kutaja takwimu.Ni kijana anayejua anachoongea haongei kwa uzoefu pekee. Aidha ni muumini wa elimu ndio maana pamoja na Kuwa na Shahada lukuki bado anaifukuzia Shahada ya Uzamivu yaani (PhD).

Kuna kitu kikubwa cha kujifunza kwa vijana wengi katika Taifa toka kwake!Vijana lazima tudrive ajenda kubwa wakati huu wa Mama Samia kwani kaonyesha wazi kwamba anataka kututumia.

Mwandishi ni Kijana na Mkufunzi wa zamani Vyuo Vikuu vya Tumaini na Saut,Ofisa Habari wa zamani wa Serikali- Idara ya Habari- Maelezo,Ofisa Mwanafunzi wa zamani Chuo cha Maofisa wa Jeshi Monduli,Arusha.

+255784159968.
Ahsante kwa taarifa.
 
Picha na link kwenye moja ya michango yake kwenye mijadala Bungeni inetusisimua zaidi

EB38E104-4CA1-45DA-BF8D-689BACEF4738.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom