Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,111
Acha kufananisha mimba na vitu vya kijinga*_Wanawake bwana kwa kulalamika eti "ooh nimebeba mimba miezi tisa" Sisi mbona tumebeba mapumbu tangu wadogo na Adi Sasa hatulalamiki_*
*badilishen kauli*
Hahahahah,you made my day.*_Wanawake bwana kwa kulalamika eti "ooh nimebeba mimba miezi tisa" Sisi mbona tumebeba mapumbu tangu wadogo na Adi Sasa hatulalamiki_*
*badilishen kauli*
huyu mleta mada anatuchukulia sisi kama watoto wenzie, jinga kabisaUongo kitu kibaya sana...
Pia, huwezi kwenda ukweni ukalala, hilo halipo...!! Alafu uamke asubuhi hata hukujui uanze mazoezi na umeenda kwa siku 2 au 3.. Alafu, ukiwa mzinzi, utatafuta support ya uzinzi huku ili moyo wako uone uko sahihi, unamsingizia mama mkwe, huenda umemuona, sasa umewaza hayo, unataka kumtongoza, sasa unataka michango ya watu huku uone itakuaje.. Huna akili ww, na sio mwanaume matured, ni mvulana, kata k..!!
To be frank with you, unasema uongo mtupu... mama mkwe hawezi kukwambia tukutane hoteli fulani... wakati hamjaongea chochote..
It seems ww ndio unamtaka, huenda umetumia kila mbinu, labda ashakuzoea, ukaanza mtongoza...
Na utakufa kibudu... keep on.. uchafu huu..!!
*_Wanawake bwana kwa kulalamika eti "ooh nimebeba mimba miezi tisa" Sisi mbona tumebeba mapumbu tangu wadogo na Adi Sasa hatulalamiki_*
*badilishen kauli*
Mkuu umenisaidia ku capture hapo hiyo ni story ya kufikirika tuu huwezi ukawa hujui Baba mkwe status yake...anamzazi mmoja yani mama tu na babake nafikiri alikushavuta shuka long kidogo
Yaani hujui kama baba mkwe wako ni marehemu ama lah!! Kuna Tatizo kwenye ndoa yako ndy maana unamtamnai mama mkwe wako.
Hahaha hii umepiga Jangwani...*_Wanawake bwana kwa kulalamika eti "ooh nimebeba mimba miezi tisa" Sisi mbona tumebeba mapumbu tangu wadogo na Adi Sasa hatulalamiki_*
*badilishen kauli*
Wewe mwehu, uende wapi. Haumwoni huyo shetani?Wana Jamvi kwema,
Niko Nyumbani kwa kina wife nimekuja kidogo kusalimia upande wa ukweni ni siku ya pili sasa nipo hapa ukweni, Wife anamzazi mmoja yani mama tu na babake nafikiri alikushavuta shuka long kidogo.
Sasa wakati naleta mahari ukweni mama mkwe aliniomba namba za simu mimi sikuwa na hofu nilimpa ni takribani miaka miwili kwanza nikili huyu mama mkwe ni mama wa mjini haswa alipochukua number nilianza mawasiliano nae.
Japo sikumpa attention wala sikuwaza kama ataleta hizi habari anazoniletea sasa, Jana nimeamka hapa ukweni nikaanza kuchukua mazoezi nje asubuhi sana huwa ni kawaida yangu nilishangaa mama mkwe anatoka na kanga tu kwenye fance.
Nilihisi aibu nikawa kama natroat aliniita tukasalimiana kisha akaanza kunisifia nilivyojengeka kimwili nilishangaa kwa kweli nilivuta picha na text zake za nyuma alizokuwa ananitumia mara moja nikajua huyu kadata na pengine pale kunikuta napiga tizi alikaa kidogo hapo nje na kurudi ndani mwanae asishtuke.
Sasa leo kanitext kuwa anamaongezi na mimi kesho saa nne asubuhi hotel fulani nimemjibu hivi mwanao atakuelewaje kanijibu nutamtuma sehemu naomba tukutane.
Nimemkomalia kumuliza kwani anashida gani adai ataniambia kesho, sasa wadau niende.