Huyu mama mkwe simuelewi

Huyu kijana ameshapotea kama ni kweli. Wazo la kumla mama mkwe ni laana tosha. Halafu unaanzaje kulala ukweni? Mimi hata wanilazimishe vipi nitashinda tu then nitenda lodge kuangusha.
Na kutudanganya hapa ni kosa zaidi.
 
Hamna hata moja la ukweli hapo...

Wajanja tushabaini siku mingi. Dogo hata kuchumbia hajawahi.
 
Huyu kijana ameshapotea kama ni kweli. Wazo la kumla mama mkwe ni laana tosha. Halafu unaanzaje kulala ukweni? Mimi hata wanilazimishe vipi nitashinda tu then nitenda lodge kuangusha.
Na kutudanganya hapa ni kosa zaidi.
Umasikini wa fikra ndo unaponza vijana wakileo mkuu. Msishangae ukiangalia uzi wake utajua niwatu kutoka ......./ ainafrani hivi
 
Kama unauwezo wa kuvua pichu ya mama yako mzazi na ukaingiza dd yako na ukasikia utamu basi nenda kamle huyo mkweo but kama huwezi kwa mama mzazi basi usifanye kwa mzazi wa mwenzio.
 
Hiyo nyumba malaana tupu yamejaa. ..mtafuteni Mwenye Enzi Mungu. ...mfanye toba ya kweli. ..hivi hivi kizazi chako kitataabika sana. ..mh! Vinatisha
 
anamzazi mmoja yani mama tu na babake nafikiri alikushavuta shuka long kidogo

Yaani hujui kama baba mkwe wako ni marehemu ama lah!! Kuna Tatizo kwenye ndoa yako ndy maana unamtamnai mama mkwe wako.
Sio kwamba kuna tatizo kwenye ndoa...tatizo ni hii story aliyotunga na kuwakamata wachache
 
unaenda ukweni siku mbili unaanza mazoezi uwani?mtaani hakuna viwanja vya michezo?..huna lolote marioo
 
mwongo wewe!
 
Wewe sio mzima unafanyaje mazoezi ukweli hapohapo mkeo kalala ndani, je siku mkeo alale na baba yako utaomba ushauli jf laana hiyo usije shangaa watoto wako kubwakwa na wadogo zako mwanaume gani wewe!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…