Huyu mama kazidi sasa

Huyu mama kazidi sasa

Hahaha uko ndo kwetu na ndo nlipopazoea,maisha ya huko nayapenda naenjoy japo tabu tabu zipo lkn insha Allah kila kitu kitaenda as planned.

Napenda wanaume wa kibongo hasa wabara,sitaki mwarabu mwenzagu .nawapenda they are powerfull kwa kila kitu.unataka nkualike harusini nn!!
Mbona una utani mbaya
 
Dada hawezi nikimbia mie
ila kaa ukijua mungu anakuona bwana shemejii na kesho utaenda ulizwa kwa kunyemelea dada za watu

Na siku utaenda oman upararaiz kuanzia kwenye kitovu kushuka chinii
Kwa hio nisiende kutembelea ndugu zangu... Dua kama hizo hazifai Nyoka mzee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom