NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,032
- 4,028
Mkuu samahani. Naomba uniambie uhusiano uliopo kati ya Diamond, Esma, Queen Darleen na Ricardo momo. Je wameshare mama, baba au ni ndugu ndugu tu?In short amekupa mfno wa diamond
.........ila nmeskia mama chibu amesema baba ake Ricardo ....ndo baba ake plutnumzMkuu samahani. Naomba uniambie uhusiano uliopo kati ya Diamond, Esma, Queen Darleen na Ricardo momo. Je wameshare mama, baba au ni ndugu ndugu tu?
Sasa Mkuu mama yake Ricardo ni nani? Mama yake (Baba yake) Esma ni nani? Queen darleen vipi baba yake/mama yake? Ndo kiti kinanifikirisha kidogo..........ila nmeskia mama chibu amesema baba ake Ricardo ....ndo baba ake plutnumz
Nyie jamaa mmenichekesha kweli,nani anajua km Mama yake diamond ni mama yake kweli?Sasa Mkuu mama yake Ricardo ni nani? Mama yake (Baba yake) Esma ni nani? Queen darleen vipi baba yake/mama yake? Ndo kiti kinanifikirisha kidogo.
Mkuu tunaona dangote mara platinuz mara diamond hatuelewi kabisaNyie jamaa mmenichekesha kweli,nani anajua km Mama yake diamond ni mama yake kweli?
Nah! mama aseme baba ni Nani hali ya kuwa Bado dogo ni maskini,asisubiri mpka apate pesa,coz akizipata watajitokeza wababa wengi mwishowe watamchanganyaJana nilikutana na mama flani karibia kuwa mtu wa makamo ana watoto wake ila bahati mbaya watoto wake sijawahi kumuona baba yao ila mmoja tu nina uhakika baba yake namfahamu maana ni rafiki yangu...
Sasa hivi nitakuwa ndugu yakoPata pesa utaujua ukoo mzima
Hapo ndo pagumu😂😂. Labda. Tumuulize ..... Mshana jrSasa Mkuu mama yake Ricardo ni nani? Mama yake (Baba yake) Esma ni nani? Queen darleen vipi baba yake/mama yake? Ndo kiti kinanifikirisha kidogo.