BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 71
NI Mtoto wa miaka miwili anatapika kila akila tumejalibu kumpeleka kwa daktari wamemchunguza hana tatizo msaada wakuu nifanyeje? Mtoto ili aweze kula au chakula gani kinastahili apewe?
Muone Dr Kuboja anapatikana Muhimbili pia yuko TMJ ni sh 17,000 ila hutajutia. Haandiki dawa hovyo hata siku moja na utashangaa. Hospitali za mtaani fasta utaandikiwa dawa na kama sio dripu za fasta na sindano kadhaa. kuwa makini tatizo linaweza kuwa ni ushauri kuliko tiba.NI Mtoto wa miaka miwili anatapika kila akila tumejalibu kumpeleka kwa daktari wamemchunguza hana tatizo msaada wakuu nifanyeje? Mtoto ili aweze kula au chakula gani kinastahili apewe?
Mimi nilijua kichekesho aisee kumbe ni siriazi,kwani huyo daktari aliwaambia mumpe chhakula gani?NI Mtoto wa miaka miwili anatapika kila akila tumejalibu kumpeleka kwa daktari wamemchunguza hana tatizo msaada wakuu nifanyeje? Mtoto ili aweze kula au chakula gani kinastahili apewe?
kweli we mtzedi, yaani unajibu swali kwa kuuliza swali!Mimi nilijua kichekesho aisee kumbe ni siriazi,kwani huyo daktari aliwaambia mumpe chhakula gani?
mlishe kupitia ushogani huko hataweza kutapika