Huyu Loydemich ni nani hapa mjini? Anafanya kazi gani?

Ukiona mwanamke anasema hvyo from nowhere ujue anamtaka huyo mtu au huyo dada amejarib kumtega jamaa ila jamaa kama haon vile...hapo mtoto wa kike lazima aseme jamaa anaringa etc...hawa mbona kuwajua ni rahis sana
 
Kuna idad kubwa sana ya watoto wa kiume wanaenda kujiuza dubai...fatilia sana...zaman ilikua south africa sikuhis wanaenda sana dubai...ndomana kuna juma lokole kila kukicha wako dubai
 
kipensi hivo public
Hilo neno "PUBLIC" ndio limeelezea uhalisia mwamba unapenda ila isiwe public.

Jamaa aliesema hawaamini wanawakw kwa kauli zao basi yuko sahihi,wewe maana yakw unapenda ila tu aivae public maana yake avae pengine mukiwa wawili.

Hivyo inawezekana ikawa ni kweli kwamba wewe pia ni mpenzi wa wanaume wanaovaa vipensi ila tu asivae public.

Na ikiwa ni hivyo suala la public maana yake ni kuwa bado unampenda hata akivaa public ila tu unahofia watu wanaomuona huyo mtu watamchukiaje.

Na hata sisi wanaume tunapenda sana wanawake wavaa vimini ila sio puplic,haina maana k2amba wakiwa wanavaa public ndo tunawachukia hapana,tunawapenda tu ila sasa tunahofia jamii inayotuzunguka watamuona vipi huyo mtu.

Kwa mantiki hiyoniseme kwamba wewe ni MPENZI WA WANAUME WAVAA VIPENSI(vimini)kwa mujibu wa maneno yako mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…