Huyu Blandina Njau na Veronica Kundya ni kina nani hasa hapa nchini?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Hawa watu wawili Bi blandina Njau na Veronika kundya ni kina nani hasa hapa nchini?

Wamekua wakipost magari ya kifahari na mafanikio sana sasa nijuzeni hawa ni kina nani na wanafanya mishe gani mjini?

Nawasilisha
 
forever living members
Screenshot_2022-04-09-14-39-32-343_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2022-04-09-14-41-50-740_com.instagram.android.jpg
 
Hawa watu wawili Bi blandina Njau na Veronika kundya ni kina nani hasa hapa nchini?

Wamekua wakipost magari ya kifahari na mafanikio sana sasa nijuzeni hawa ni kina nani na wanafanya mishe gani mjini?

Nawasilisha
Kwani wakipost shida ni nini?Unaweza pia kupost.
 
Scammer hao hanawa kitu kujipromote wanaingiza wat7 mkenya ule ukanda Kwa pesa wako radhi kutoa hata mtu kafara haswa wanwake
Mh.Kama unaweza toa kafara watu ukatusua basi inabidi nifanye mpango na mimi nianze kupost
 
ulipotaja hiyo forever umenikumbusha kuna mwamba mmoja alinuka hela na ishu za trevo ye ndo alikuwa leader mkuu hapa bongo km ujuavyo hivi vitu vinakuwaga na msimu now anaweka cctv kwenye fensi za watu sijui ishu za trevo zilimuishia wapi.
Kivip anatafutwa nn
 
Labda fedha alizokusanya huko ndio zitakuwa zilimpa mtaji wa kufungua hizo mambo za kuweka camera na fensi za umeme...
 
Back
Top Bottom