Chief Godlove ni mtu wa wapi?

Isaya wa njombe

Senior Member
Apr 2, 2023
181
325
Salute iende kwenye mada, kiukweli hapa mjini Dar es salam kuna watu nadhani wanaishi maisha mazuri ni kama wako Dubai au New York .Binafsi nimekuwa chawa promax wakumfatilia huyu kijana anaejiita Chief Godlove kiukweli jamaa anakula sana bata hapa mjini licha ya umri wangu wa miaka 35 naona dogo kaniacha parefu sana kimaisha.

Kabla sijampa maua yake najua humu yupo au kuna jamaa zake wanaomjua nilitaka kujua jamaa anafanya biashara gani mpaka asumbue na magari makali na nyumba nzuri yaani nika kama hush pupp fulani mdogo natamani nijue background yake anipe na mimi hamasa nirudi Njombe na VW new model.

Screenshot_20230613-105551.jpg
 
Ni mshamba mmoja hv alieziotea hela kiasi za 'masharti' anawavimbia wajinga na washamba wenzie huko isnta na tiktok... yaan kiufup ni limbukeni ! Sio kwamba nna muonea wivu hapana nyie fatilieni video zake huko mtajiridhisha.. unakuta kabeba mbwa wake kawafunga na minyororo ya kuvutia gari au mikanda ya mabegi alafu anawavimbia watu kuwa anaenda kuwanunulia mbwa wake gari crown kwa ajili ya kuendea beach au kwenda kuoga!

Nilichoka siku ingne kapost vyakula flan vya mbwa ambavyo ni very cheap food kwa mtu kama yeye anaevimba... watu walimchana sana aache ushamba... kiufupi ni jamiii ya kina kinasa msukuma ... yaan ni ile mtu hajawah kuwa exposure na maisha ya mjini alafu yupo huko uswekeni kaziotoe kaamua kuja nazo mjini so kila anachokiona cha thaman anawavimbia watu bila kujua kuna wengine wanakichukulia very cheap sana!!

Mwisho: Jamaa hela zake ni za masharti kuwa haruhusiwi kuwa na mahusiano na mwanamke ndo maana sio rahisi kumuona ana hang na wanawake katika mtindo wa kutaka kuchakata mbususu... yaan yeye akichakata mbususu tu kaisha! Sasa utajiri bila kuchakata mbususu ni u mbululazzzz!!
 
Ni mshamba mmoja hv alieziotea hela kiasi za 'masharti' anawavimbia wajinga na washamba wenzie huko isnta na tiktok... yaan kiufup ni limbukeni. Sio kwamba nna muonea wivu hapana nyie fatilieni video zake huko mtajiridhisha.. unakuta kabeba mbwa wake kawafunga na minyororo...
Dogo ni mshamba ila pesa anazo pesa haijifichi nyumba anayoishi na mazingira anayotembelea kula Bata ni sehemu ghali sana shida haieleweki anafanya kazi gani post zake inaonesha wazi kuna kitu kinamtesa hayupo vizuri saikolojia yake.
 
Ni mshamba mmoja hv alieziotea hela kiasi za 'masharti' anawavimbia wajinga na washamba wenzie huko isnta na tiktok... yaan kiufup ni limbukeni ! Sio kwamba nna muonea wivu hapana nyie fatilieni video zake huko mtajiridhisha.. unakuta kabeba mbwa wake kawafunga na minyororo
Nakazia hapa pesa uwe nayo ikufurahishe usikute jamaa watoto wazuri hapa town anawapigia nyeto tu sema ukimchunguza sana kisaikolojia hayuko sawa anatumia ile kuvimba kujiweka sawa kisycolojia...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom