Huyu kumbe ndo Joyce Kiria original!!

Hahaaa Omwanaa, mkuu kuna picha niliona wameweka watoto (2) kitoto kizurii cha kizungu na kitoto kiafrika afu wameweka caption , Kile kizungu kinaitwa Baby na Kile kiafrica kinaitwa Omwana ,nilicheka sanaa
Halafu kuna picha kama hizo mbili upande mmoja mzungu amesinzia,
Upande mwingine Muafrika mwenye sura mbaya amesinzia huku ameachama meno nje
Pale kwenye picha ya mzungu wameandika "Sleeping"
Halafu picha ya mbongo wameandika
"Ukugona"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…