Huyu Kipanya Huyu...!.

Tanzania yatuma msaada wa chakula marekani hizi ndo habari anazopenda Magu
 
Reactions: SDG
Uchumi umepaa kwa kasi ya 'Rocket" wakati kwa taarifa tu makampuni yanayoandika barua ya kufunga ofisi TRA yameongezeka sana awamu hii
 
Reactions: SDG
Hata mkidanganya intelijensia yenu inaonyesha Mkolomije anapanga njama za kuja kuwavamia atakamatwa na kupelekwa kizuizini si magereza tena.
 
Reactions: SDG
Haa ha ha..Kipanya weww ni komesha...! Ur Genius bro..
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…