PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,447
Hivi kweli tunataka serikali ituletee umeme adi chumbani bure, wakati gharama za kuunganisha ni shilingi 20000 tu
kipanya hakipoHivi kweli tunataka serikali ituletee umeme adi chumbani bure, wakati gharama za kuunganisha ni shilingi 20000 tu
kipanya hakipo
Hichi hapa mkuu
nimekiona asante. Umeme umepita kichwaniHichi hapa mkuu
Yaani una maanisha hawaezi kuunganishiwa kwasababu hauwahusu, japokuwa umepitia kwenye makazi yao?Kuna vijiji umeme umepita ila wao hajaungiwa na hawaruhusiwi kuunga kwani sio wao, mfano Maroroni Arusha umeme umepita ila umeenda kijiji cha pili, so huenda kuna scenario hiyo pia vijiji vingine
Kwanini sasa wengine waungiwe na wengine wasiungiwe??Kuna vijiji umeme umepita ila wao hajaungiwa na hawaruhusiwi kuunga kwani sio wao, mfano Maroroni Arusha umeme umepita ila umeenda kijiji cha pili, so huenda kuna scenario hiyo pia vijiji vingine
Sasa mkuu kuungiwa ni elfu ishirini tuNilifikiri umeungwa kumbe umepita bure harafu mbona ni jirani na nyumba yake sasa tz tunakosea wapi
Kwanini sasa wengine waungiwe na wengine wasiungiwe??
Nahisi na ndilo swali la kipanya sasaKwanini sasa wengine waungiwe na wengine wasiungiwe??
Labda wanaurukwa walikosea kuchaguaKwanini sasa wengine waungiwe na wengine wasiungiwe??
Transfoma ipo sasa??? Si unaona hapo nyaya tu haa haaaSasa mkuu kuungiwa ni elfu ishirini tu
Vingi tuKuna vijiji umeme umepita ila wao hajaungiwa na hawaruhusiwi kuunga kwani sio wao, mfano Maroroni Arusha umeme umepita ila umeenda kijiji cha pili, so huenda kuna scenario hiyo pia vijiji vingine