hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 9,015
- 10,040
Hivi kweli tunataka serikali ituletee umeme adi chumbani bure, wakati gharama za kuunganisha ni shilingi 20000 tu
Angalia hiyo nyumba yake then value na hiyo elf 20 unayosema
Hivi kweli tunataka serikali ituletee umeme adi chumbani bure, wakati gharama za kuunganisha ni shilingi 20000 tu
Serikali haigharamii umeme vijijini watumiaji ndiyo tunaopeleka umeme vijijini kwa kulipa REA kila tununuapo LUKU. Wakisha weka umeme wanaweka bendera za CCM ili wazindue.Hivi kweli tunataka serikali ituletee umeme adi chumbani bure, wakati gharama za kuunganisha ni shilingi 20000 tu
Kwani kijiji chenu kinaongozwa na chama gani mkuu? Mapumbavu haya yanaruka vijiji vya wapinzani.Kijijini kwetu umeme umepita juu tu, wamepeleka kijiji cha pili ili hali hicho kijiji cha pili ni kidogo kuliko hata chetu hata robo hakifikii
Kwani wewe mkuu hukumwona mh. Kale-man hukumwona anazindua umeme ulioingizwa kwenye nyumba yenye thamani ya shililingi elfu 10?Angalia hiyo nyumba yake then value na hiyo elf 20 unayosema
Kijijini 20000 ni sawa na laki mbili mjini wangefungiwa umeme kwanza halafu hizo gharama wangekuwa wanalipa kidogo kidogo wakati wa msimu wa Mavuno.Hivi kweli tunataka serikali ituletee umeme adi chumbani bure, wakati gharama za kuunganisha ni shilingi 20000 tu
Kudanga kunakusaidia nini kama unashindwa kuwatumia wazazi 20'000/- wakaungiwe umeme!Nje ya box labda Kipanya ana maanisha umeme umepita lakini wananchi wanaishi nyumba za udongo na nyasi na hawana uwezo kulipa 20,000/= ili waunganishewe umeme. Hivyo basis ni muhimu kuwa na maendeleo ya watu kabla ya maendeleo ya vitu. Bahati mbaya Jiwe anapenda maendeleo ya vitu na hana allergy na maendeleo ya watu.
Kwani kijiji chenu kinaongozwa na chama gani mkuu? Mapumbavu haya yanaruka vijiji vya wapinzani.
Hahahaha...Ni kweli umeme /stima 'imepita'
Nyo'anokho nkoyi!Kudanga kunakusaidia nini kama unashindwa kuwatumia wazazi 20'000/- wakaungiwe umeme!
Nani anadanga?Kudanga kunakusaidia nini kama unashindwa kuwatumia wazazi 20'000/- wakaungiwe umeme!
Nje ya box labda Kipanya ana maanisha umeme umepita lakini wananchi wanaishi nyumba za udongo na nyasi na hawana uwezo kulipa 20,000/= ili waunganishewe umeme. Hivyo basis ni muhimu kuwa na maendeleo ya watu kabla ya maendeleo ya vitu. Bahati mbaya Jiwe anapenda maendeleo ya vitu na hana allergy na maendeleo ya watu.
Kwani wewe mkuu hukumwona mh. Kale-man hukumwona anazindua umeme ulioingizwa kwenye nyumba yenye thamani ya shililingi elfu 10?
Hivi kweli tunataka serikali ituletee umeme adi chumbani bure, wakati gharama za kuunganisha ni shilingi 20000 tu
Kudanga kunakusaidia nini kama unashindwa kuwatumia wazazi 20'000/- wakaungiwe umeme!
Serikali haigharamii umeme vijijini watumiaji ndiyo tunaopeleka umeme vijijini kwa kulipa REA kila tununuapo LUKU. Wakisha weka umeme wanaweka bendera za CCM ili wazindue.
Kipanya ni msanii anayefikisha ujumbe kwa staili hiyo. Mie ni mhanga wa mradi wa REA kijijini kwetu Bisarwi, kata ya Manga wilayani Tarime.Teh teh teh....
Sijaona kosa la kipanya, labda familia inataka kuomba fedha kutoka kwa mtoto wao. Maana wamefurahi.
Au umeme umepita kuelekea eneo jingine na hawaruhusiwi kuunganishiwa kwa kuwa haujapoozwa.
Nadhani anamaanayake nzuri. Kiukweli kuna baadhi ya mitaa vijijini hali iko ivo tena bila sababu reasonable kabisa.
Kwahiyo mita mia karibu ee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaangalia maombi ya wanakijiji wanafika wangapi huwezi kupeleka transformer sehemu Inawateja wawili
Hapo kuna rushwa sana kwenye Huu mfumo wa umeme vijijini
Kipaumbele wanapewa waliotoa rushwa mfn mjomba wangu amepiga wiring nyumba yake mwaka juzi na aliomba kuunganishwa ila hakuna kitu na nguzo ipo mita Mia tu