Huyu kiongozi kama angelijua CCM iko hivi asingelifanya juhudi kusaidia taifa lake

Ndiyo maana 2025 inatuhusu wote
 
Nyuki ingieni kwenye Nzinga wa babu mtileteeni asali babu, watoto, wajukuu na vitukuu tule.
 
Jpm hakuwa anasafiri sababu ya betri kwenye moyo,sio kwamba aliamua tu,ufisadi kipindi chake ulikuwepo ila kwa wachache wanaomzunguka,na hakutoa nafasi watu kuandika ufisadi wake ,mfugale,atcl,trilion 1.5 ,
 
Nyumba za serikali kwenye maeneo nyeti kama Ohsterbay, Posta, Masaki, Mikocheni nk amegawana na marafiki zake.
Hili hujaliona?

Kiasi cha sh trn 1.5 zilikwapuliwa kwenye serikali ya mwendazake.
Hili nalo vipi?
Mzee Rugemalira alifikishwa mahakamani miaka minne iliyopita, lakini miaka yote hiyo serikali imeshindwa kupeleka ushahidi mahakamani kuthibisha kosa lake.
Maana yake kesi ni uongo.
Unataka serikali iendelee kuwakandamiza watu kwa sababu mwendazake alikuwa na chuki dhidi yao?
 
Jiwe alikua Juha alijivisha joho la uzalendo na kuanza kuwanyamazisha wapinzani wake kisiasa na kuutangazia umma anadeal na mafisadi kitu ambacho sio kweli,
Yeye mwenyewe alikua tapeli na jizi alipokua waziri wa ujenzi aliwahi gawa nyumba kwa marafiki,ndugu na mahawara wake maeneo ya Oysterbay,Upanga na masaki

Halafu alivyo juha zaidi akaanza kuwaita wenzake mafisadi wakati ndani ya chama chake akiwepo na yeye walikua wanaihujimu nchi
Ungemuuliza kipindi hicho CCM wanapitisha bajeti za kifisadi yeye alikua anazikataa?
Ila alipopata Urais akawageuka kinafiki na kuwazibia mirija ya upigaji ili apige yeye peke yake na hapo ndio chanzo cha upotevu wa matrilion ya pesa aliyoyasema
Prof Assad the CAG ila wakamnyamazisha kwa kumstaafisha kipuuzi ili asiseme madudu yao wakiongozwa na zwazwa Kimbunga Jobo na agenda yao ikatimia

Hakujawahi kutokea mzalendo wa kweli kama Mwalimu Nyerere japo naye alikua na mapungufu yake

Wengine wote wachumia tumbo tu
Mataga acheni propaganda za kumsafisha jiwe japo amakufa ila nae alikua Mzee fiksi!
 
Una maanisha yule shetani jambazi aliyefukiwa Chato!
 
Jibu haya
1. Kama alikusanya kodi mbona samia anasema hajakuta chochote mwenye chungu?
2. Kama alijenga zahati mbona tozo za miamala,samia na mwigulu wamesema wanajengea zahanati,au Ni waongo?
Ccm oyeeee!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 

Alikuwa mshamba na boya tu. Bora alikufa mzandiki yule.

Tena kaburi lake inabidi iwekwe pingu.
 
The truth ia bo body cares about you. Aliekuja after nyerere didnt care nyerere alileta uhuru, aliekuja after mkapa.. hakujali mkapa kafanya nini? The chains goes on.
Tatizo lake yeye alizani anaweza piga one man show. Kwenye corporate leadership hakuna kitu kama hiko. Lazima uwe na supporting system ya kueleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…