Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Huyo ndo ilikuwa tabia yake tok mwanzo ila coz alikuwa na
shida na room ya kupanga akaamua aje kama NGOSHA rijali!!
RUDISHA PESA YAKE KISHA TIMUA!!!
shida na room ya kupanga akaamua aje kama NGOSHA rijali!!
RUDISHA PESA YAKE KISHA TIMUA!!!
Ndugu, nina kijana amepanga kwenye apartment ya house yangu, kijana alikuwa ni mtu wa kawaida mwenye majukumu yake ya kiofisi mazuri tu. Ninachoshangazwa nae siku za hivi karibuni ameanza kubadilika kiaina fulani, kwanza ameanza kutumia lotion za kung'arisha ngozi, anatumia perfume za kike, mavazi akishatoka ofisini (suit na tie) anavaa mavazi tofauti na ya zamani, sasa ni jeans za kubana juu kuachia chini, hachomei tena bali ni kuachia vishart vibody, mwendo sasa unachange umekuwa wa kuyumba yumba, nywele ni mafuta ya carl, wanja wa kati ya macho, chakushangaza na sauti sasa anarembesha kuliko ya kwangu, hata mikao sasa inachange jamaniiiii.
Sasa kwa kuwa nimempokea na naishi naye kama mdogo wangu kutoka mikoa ya kaskazini,nashindwa kumwelewa, hivi ndo hayo mambo ya SHAROBARO au ndo kashaingia kwenye mtoto si rizki???
Mnanishauri vipi? nimuingie na kumuuliza juu ya mwenendo wake au?