kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,709
- 25,488
Nilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango.
Jamaa akafanikiwa kuingia ndani ile anaingia ndani tu nikamspray na dawa ya kuua wadudu usoni kwake akaanguka chini nikampiga na mabanzi ya sime mgongoni kisha nikamtoa nje akiwa hajitambui ndio nikaita majirani hapa wamemmwagia maji ya baridi kazinduka wamempiga kinoma,hapa mimi nimemwambia haondoki bila kunifidia mlango wangu aliouvunja ndio yuko anahangaika kupigia ndugu zake waje tuyamalize.