Dah hii kesi ngumu kweli MadameX, lakini nitajitahidi kudig in kidogo kadri nitakavyowezaHabari zenu wakuu, nina mtu wangu wa karibu hali yake inanipa utata. Yeye yuko late 30's amelelewa kilokole na pia hivyo nyumbani kulikuwa na maadili mazuri yaani it was very strict family, mambo ya ujana kwao yalikuwa hayana sehemu, kwahiyo mambo ya watoto wa mjini kwake yalikuwa hakuna.
Sasa yeye ni mtu mzima, mamake na nduguze wamepiga dau la kuoa wamechoka maana kihali na mali inamruhusu (anaishi peke yake). Kitu cha kushangaza huyu mtu hajawahi kuwa wala kuonekana na GF kama kawaida ya wanaume. Hana hata mtoto wa kusingiziwa, yaani urafiki na wanawake hana hata ule wa platonic hakuna zaidi ya sisi jamaa zake. Nimejaribu kumconnect na sister fulani hivi poa, kwa kuhisi labda atakuwa domo zege nalo halikufaa maana ni muda wako pamoja lakini mazungumzo hayaendi next level.
Kuwa ni mlokole si mlokole...jamani kuna jinsia gani zaidi kwa mwanaume kama mtu si gay or straight kuna 3rd option?
Habari zenu wakuu, nina mtu wangu wa karibu hali yake inanipa utata. Yeye yuko late 30's amelelewa kilokole na pia hivyo nyumbani kulikuwa na maadili mazuri yaani it was very strict family, mambo ya ujana kwao yalikuwa hayana sehemu, kwahiyo mambo ya watoto wa mjini kwake yalikuwa hakuna.

Hiyo ni akili tu imejengeka kuona tendo hilo au kuwa na wanawke ni kosa, njia rahisi ya kuondoa hilo ni awe na watu ambao watakuwa wako wazi kwenye kuzungumzia hilo jambo, nashauri mtafutie mwanamke chakaramu ambaye kila neno linalomtoka mdomoni ni tusi atazoea tu, mwanamke aliye decent kwa jamaa yako huyo atamuaribu zaidi!!
kuna rafiki yake husband pia yupo hivyo, yaani siyo gay wala straight, na kuna kipindi tulimlengeshea mdada ikashindikana, then husband akaamua kumwendea na kuzungumza naye kama kamati, jamaa akajidai hawezi kuwatokea wadada. sasa akamwambia poa, mimi nitaongea na mdada na nitamalizana naye kabisaaaaaaaaaaaaaa, nikimleta kwako ujue ashakubali kila kitu uendelee tu.Hakunaga Third option ila kila binadamu ana tabia zake kuna watu wengine huwa kusoma hawajui na hata ukimwonyesha picha ndio unamchanganya kabisa hivyo basi kama ni mtu wako wa karibu zungumza naye very friend in order kujua tatizo lake ni nini then utajua ni wapi unaweza kumsaidia kama usipofanya hivyo hata umlete wadada 20 is equal to zero.
jaribu kupretend umechanganyikiwa ukalale kwake siku moja then utarudi na jibu la hapo kwenye redHabari zenu wakuu, nina mtu wangu wa karibu hali yake inanipa utata. Yeye yuko late 30's amelelewa kilokole na pia hivyo nyumbani kulikuwa na maadili mazuri yaani it was very strict family, mambo ya ujana kwao yalikuwa hayana sehemu, kwahiyo mambo ya watoto wa mjini kwake yalikuwa hakuna.
Sasa yeye ni mtu mzima, mamake na nduguze wamepiga dau la kuoa wamechoka maana kihali na mali inamruhusu (anaishi peke yake). Kitu cha kushangaza huyu mtu hajawahi kuwa wala kuonekana na GF kama kawaida ya wanaume. Hana hata mtoto wa kusingiziwa, yaani urafiki na wanawake hana hata ule wa platonic hakuna zaidi ya sisi jamaa zake. Nimejaribu kumconnect na sister fulani hivi poa, kwa kuhisi labda atakuwa domo zege nalo halikufaa maana ni muda wako pamoja lakini mazungumzo hayaendi next level.
Kuwa ni mlokole si mlokole...jamani kuna jinsia gani zaidi kwa mwanaume kama mtu si gay or straight kuna 3rd option?
Habari zenu wakuu, nina mtu wangu wa karibu hali yake inanipa utata. Yeye yuko late 30's amelelewa kilokole na pia hivyo nyumbani kulikuwa na maadili mazuri yaani it was very strict family, mambo ya ujana kwao yalikuwa hayana sehemu, kwahiyo mambo ya watoto wa mjini kwake yalikuwa hakuna.
Sasa yeye ni mtu mzima, mamake na nduguze wamepiga dau la kuoa wamechoka maana kihali na mali inamruhusu (anaishi peke yake). Kitu cha kushangaza huyu mtu hajawahi kuwa wala kuonekana na GF kama kawaida ya wanaume. Hana hata mtoto wa kusingiziwa, yaani urafiki na wanawake hana hata ule wa platonic hakuna zaidi ya sisi jamaa zake. Nimejaribu kumconnect na sister fulani hivi poa, kwa kuhisi labda atakuwa domo zege nalo halikufaa maana ni muda wako pamoja lakini mazungumzo hayaendi next level.
Kuwa ni mlokole si mlokole...jamani kuna jinsia gani zaidi kwa mwanaume kama mtu si gay or straight kuna 3rd option?
Kwani mwanamme hawezi kujiamulia kukaa peke yake bila mwanamke?
Kama mtu mwanamme hana interest na wanawake, kashaangalia kaona magonjwa na michosho mingine tu, anataka kufanya mambo yake bila usumbufu wa familia na watoto, atakuwa si mwanamme?
Haya matatizo ya kufuatilia watu walioamua kuishi maisha yao tofauti na tunavyojua kawaida yapo nchi zisizoendelea ambapo watu wanachofikiria kinazunguka mule mule tu, kuzaliwa, kuoa,kuzaa,kufa.
Unajuaje kama mtu anatafuta dawa ya kansa huko (au anataka kufanya kingine chochote ambacho ni muhimu kwake) anaona GF au mke na watoto watamzingua tu.
Atakuwa na makosa gani?
kweli aisee.... hasa kama ni khanithi
Jamii maskini zimejikita katika kufuatilia mambo yasiyo muhimu kama haya, nani khanithi nani rijali. Nani ana mke mmoja nani ana wake wanne na upuuzi mwingine kama huo.
Wakati wenzetu wanatafuta dawa za UKIMWI na kansa, wanapeleka vyombo Mars, wanasolve Poincare's conjecture.
I bet Grigori Perelman angekuwa Mtanzania watu wangemsema khanithi.