funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,411
- 31,916
Hoja zangu ni mbili tu.
Kwanza kwa kuwadhalilisha wenyeji wa Dar es salaam yaani wazaramo.
Eti wewe hupigi maneno kama mzaramo!!
Halafu ukaishia kuongea kuliko hata huyo mzaramo mwenyewe.
Pili kwa kumdhalilisha mlemavu wa ngozi na kumfanya ni mtu wa tabaka la chini....
Hili ndio baya zaidi kwani tuko katikati ya vita dhidi ya mauaji ya albino halafu kiongozi wa timu kubwa Afrika mashariki na kati unamdhalilisha albino?
Kwa hayo mawili tu itoshe kusema Muro ajiuzulu.
N.B
Mimi ni mwanayanga daima toka kipindi kilee ambapo Mbezi palikuwa na shamba letu la mikorosho na miembe.