Huyu jamaa ni mkaree asee!

Huyu jamaa ni mkaree asee!

Nilishaiona hii. Jamaa ni mkareee
 
Hahaa naona unaanza kuleta haya ya Chitalu v Messi: Lionel Messi's record belongs to Godfrey Chitalu, claims Zambia's FA | Football | guardian.co.uk

Hiro jamaa kama ni kare kweri si tungeriona kwenye ririgi rikiwaramba chenga kina Mrisho Ngasa?

Ndio zao hizo, hahahaaaa. Kwenye game ya soccer ya ukweli huwezi kuachwa ufanye huo ushololo, ni vitu vichache sana ana weza kuviingiza mchezo na mind you, kwenye mpira unakua una move saa zote wakati hapo jamaa kasimama sehemu moja tu na zaidi ya yote anaweza akawa anafanya yote hayo lakini fitness yake ni zero, hana pumzi kabisa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom