Huyu jamaa ni d.c. Na kada wa wanamagamba.

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
kone3.jpg
 
nani unaye msemea Nawanda Yahaya? Alikuwaga kichwa wa sociology na mwenzie omar sijui siku hizi yuko wapi.
 
Mkuu Kingfish, ulikuwa Singida? namuona na huyo mhindi Naghji mfadhili wa gambaz. Hapo ni ukumbi wa RS.:clap2:
 
Ninayemsema ni huyo anayeonekana kwa ukaribu,anaitwa mosi chang'a ni d.c. Aliwahi kuwa katibu wa magamba wilaya ya njombe.
 
Huyu ni DC Chang'a wa wilaya mpya ya Mkalama iliyomegwa toka wilaya ya Iramba
 
Back
Top Bottom