Kumbe Kada ya Magereza ndio Wanyonge Kuliko Kada Zingine Za Ulinzi? Inasikitisha Sana.

Hapo alipaswa kuweka na Basic salary ya Askari Mwanajeshi wa JWTZ mwenye nyota au rank moja na hao wa Plisi na Magereza ndo Ungeshangaa. Obvious Luteni Usu wa JWTZ atakuwa analipwa zaidi ya 1.2m. Mwenyekuwa na takwimu sahihi atuwekee hapa.
MAGEREZA-850,000=
POLISI-950,000=

JWTZ-?
Mkuu ChoiceVariable tutafutie na Mshahara wa Luteni Usu wa JWTZ ili mjadala unoge zaidi.
 
Hoja ya mbunge ni kuhusu magereza na polisi maana ndio vyombo vinavyofanana kimuundo na majukumu.
 
Hapo alipaswa kuweka na Basic salary ya Askari Mwanajeshi wa JWTZ mwenye nyota au rank moja na hao wa Plisi na Magereza ndo Ungeshangaa. Obvious Luteni Usu wa JWTZ atakuwa analipwa zaidi ya 1.2m. Mwenyekuwa na takwimu sahihi atuwekee hapa.
MAGEREZA-850,000=
POLISI-950,000=

JWTZ-?
Hiyo ni difference ndogo sana kwa Magereza na Polisi sababu hata kazi wanatofautiana uzito. Kinachofanya polisi waonekane wana maisha nafuu mtaani ni dhulma, wizi na rushwa wanavyofana mtaani. Mianya hiyo kwa magereza ni kwa wachache sana.
Kitu muhimu kwa magereza ni kulipa stahiki zao kama nauli za kusafirisha watuhumiwa ambazo huwa wanadhurumiwa. Nadhani kilio kikuu cha askari magereza ni haki na stahiki zao za msingi, sio nyongeza ya mshahara.

Vilevile kwa jeshi hawawezi kuwa na malipo sawa. Kwa nchi kama UK, Navy yao ina mgogoro wa kukosa sailors wa kutosha sababu wanatoa mishahara inayolingana au chini ya makampuni binafsi. Huwezi pata brain iliyochangamka kwa hela ya mboga wakati kazi yenyewe mazingira magumu na ina masharti kibao.
Kila Royal Navy submarine captain angeruhusiwa kuamua kuacha kazi jeshini pale atagombaniwa na makampuni alipwe hata 3× ya mshahara wake jeshini.

Yani unataka combat engineer aliyekuwa trained kama sapper alipwe sawa na automobile engineer wakati sapper akikosea kidogo tu anakufa au kupoteza viungo na anafanya kazi hatarishi na mazingira magumu muda wote.
We unahisi kwanini jeshi hupeleka watu nje kujifunza, askari magereza ana vitu vichache sana vya kujifunza nje.
 
Hapo alipaswa kuweka na Basic salary ya Askari Mwanajeshi wa JWTZ mwenye nyota au rank moja na hao wa Plisi na Magereza ndo Ungeshangaa. Obvious Luteni Usu wa JWTZ atakuwa analipwa zaidi ya 1.2m. Mwenyekuwa na takwimu sahihi atuwekee hapa.
MAGEREZA-850,000=
POLISI-950,000=

JWTZ-?
Mkuu ChoiceVariable tutafutie na Mshahara wa Luteni Usu wa JWTZ ili mjadala unoge zaidi.
Askari wote walioko wizara ya mambo ya ndani ni njaa Kali.

Uhamiaji (hawa kinachowabena ni madili yao haramu ya visa feki na kuchukua pesa kwa wahamiaji haramu, na rushwa za wanaotafuta passport)

Polisi madili yao uanajulikana, na wengine Wana vitengo vingi vya Traffic, kulinda bandari etc

Magereza ndio hawana cha ziada, Hali ngumu.

Hawa mambo ya ndani hata Kikokotoo kandamizi na kausha damu kinawahusu.

Wakati hiki Kikokotoo kandamizi na kausha damu cha mafao hakiwahusu JWTZ/JKT na wanasiasa.
 
Hapo alipaswa kuweka na Basic salary ya Askari Mwanajeshi wa JWTZ mwenye nyota au rank moja na hao wa Plisi na Magereza ndo Ungeshangaa. Obvious Luteni Usu wa JWTZ atakuwa analipwa zaidi ya 1.2m. Mwenyekuwa na takwimu sahihi atuwekee hapa.
MAGEREZA-850,000=
POLISI-950,000=

JWTZ-?
Mkuu ChoiceVariable tutafutie na Mshahara wa Luteni Usu wa JWTZ ili mjadala unoge zaidi.
Mishahara ya Jeshi ni Siri sana huwezi kujua,
 
Hiyo ni difference ndogo sana kwa Magereza na Polisi sababu hata kazi wanatofautiana uzito. Kinachofanya polisi waonekane wana maisha nafuu mtaani ni dhulma, wizi na rushwa wanavyofana mtaani. Mianya hiyo kwa magereza ni kwa wachache sana.
Kitu muhimu kwa magereza ni kulipa stahiki zao kama nauli za kusafirisha watuhumiwa ambazo huwa wanadhurumiwa. Nadhani kilio kikuu cha askari magereza ni haki na stahiki zao za msingi, sio nyongeza ya mshahara.

Vilevile kwa jeshi hawawezi kuwa na malipo sawa. Kwa nchi kama UK, Navy yao ina mgogoro wa kukosa sailors wa kutosha sababu wanatoa mishahara inayolingana au chini ya makampuni binafsi. Huwezi pata brain iliyochangamka kwa hela ya mboga wakati kazi yenyewe mazingira magumu na ina masharti kibao.
Kila Royal Navy submarine captain angeruhusiwa kuamua kuacha kazi jeshini pale atagombaniwa na makampuni alipwe hata 3× ya mshahara wake jeshini.

Yani unataka combat engineer aliyekuwa trained kama sapper alipwe sawa na automobile engineer wakati sapper akikosea kidogo tu anakufa au kupoteza viungo na anafanya kazi hatarishi na mazingira magumu muda wote.
We unahisi kwanini jeshi hupeleka watu nje kujifunza, askari magereza ana vitu vichache sana vya kujifunza nje.
Kuna Ile posho ya katikati ya mwezi,Je Magareza wanapata?

Mwisho Magereza walitakiwa kupata zaidi Kwa sababu hawana mazingira mengine ya kupata kipato Nje ya kazi zao,Polisi wanalinda Hadi Banks,misafara nk.
 
Kuna kitu watu wengi hawakijui.
Magereza unaweza kumkuta form four leaver au STD 7 ana nyota mabegani kitu ambacho kwenye jeshi la polisi ni nadra sana
Nakuja kutolea ufafanuzi mlinzi mkuu
 
Kipindi nakaa Kota Segerea kulikuwa kuna mzee alifikia Hadi senior superintendent of prison (SSP) huku ni std 7
 
Kuna Ile posho ya katikati ya mwezi,Je Magareza wanapata?

Mwisho Magereza walitakiwa kupata zaidi Kwa sababu hawana mazingira mengine ya kupata kipato Nje ya kazi zao,Polisi wanalinda Hadi Banks,misafara nk.
Posho ndio maslahi yenyewe niliyozungumzia. Hilo la wao kulipwa salary ya juu kisa hawaibi ni maamuzi ya shithole country na banana republic. Yani serikali ikae hapa ipange salary scale kwa kuzingatia kazi gani wanaiba na kazi gani hawaibi, si wanakuwa wametoa go ahead ya wizi?
 
Back
Top Bottom