Huyu jamaa kaniacha hoi

Huyu jamaa kaniacha hoi

hakuna anaeweza fanya kazi au biashara kwa hasara.... kama kitambo anapiga hiyo kazi .... then inampatia kipato...
mjini opportunities nyingi kuliko wizi, utapeli na ujambazi... BIG UP sana Fundi miavuli
 
maisha ni hatari sana,, nauchukia
sana umaskini , eti hapa mjini mtu
kamua awe fundi mianvuli kweli
fundi mianvuli jamani huo
mwanvuli unauzwa tsh ngapi,,
mpaka uharibike ni lini na hiki
kiangazi nanii atakumbuka habari
za mianvuli,, aiseee sijawahi
mdharau maskini mwenzangu zaidi
ya kumhurumia

Nakwambia wewe unaezarau maskin ucpokuja kua muuza gongo cjui....tena ukatubu kama ni mskitin au kansani kwasabab laana znakungoja njiani
 
aah kuuza mianvuli me hapana..bora hata wauza maji dar joto kama moto wa gesi.
 
Duh usimuone anashona mwamvuli, kunawatu wako ivyo but ukija kuchunguza niwatu wana majumba yao na wana pesa.Unaweza muona mtu anashona viatu kumbe ana miradi yake mingine wewe ukija kustuka mwenzio anapaa na ndege wewe wamuangalia kwajuu tu, chunga sana kijana mjini hapa ati!!
 
mjini mambo mengi kaka watu wengine hizo kazi ni zuga tu.kuna jamaa alikua anatuuzia kahawa na kashata hapa mjini
Arusha na anaelezea mahesabu mazuri ya fedha anayopata .2010 kuna jamaa akakutana nae anaingia Ikulu na ametoa
kitambulisho kuanzia hapo akatupigia simu kwamba huyu jamaa wa gahawa naingia nae hapa Ikulu na ameonyesha Id ya
kazi yake .Heshimu watu tu huku mijini kwetu.
 
Kila mtu na kazi yake, usiione kazi ya mwenzako haifai ilhali huijui undani wake. Kuna jamaa alikuwa anamuone huruma ombaomba mtaani kila siku anamtupia vicoin, siku akajapewa taarifa na rafiki yake kuwa yule ombaomba anamiliki bajaji kadhaa mjini hapa zinapiga kazi. Alichokaa, na yeye hana hata bodaboda.
 
maisha ni hatari sana,, nauchukia
sana umaskini , eti hapa mjini mtu
kamua awe fundi mianvuli kweli
fundi mianvuli jamani huo
mwanvuli unauzwa tsh ngapi,,
mpaka uharibike ni lini na hiki
kiangazi nanii atakumbuka habari
za mianvuli,, aiseee sijawahi
mdharau maskini mwenzangu zaidi
ya kumhurumia

Kazi ni kazi, unajua anaingiza kiasi gani?
 
hivi unajuwa kusoma wewe? amesema hawezi kumdharau maskini mwenzake.

Kama cjui kusoma nahisi wewe ndio ulikua mwalim wangu ndio maana cjui kusoma.....kama awez kumzarau maskin kwa akil yako apo kafanyaje na wewe...
 
Kuna kazi nyingine unaweza kufa hivi hivi kutokana na poor sighting japo umeweza kujiajiri...

Huu ni mwaka wangu wa 10 sina mwamvuli, mtaani kwangu sioni watu wanatumia miamvuli..

Mwambie jamaa abadili profession kwenda kuziba pancha labda, naona kama profession zinaendana!

Kuna kazi nyingine tunazifanya lakini tunaishia kujilaumu baaadae at a long run effects!

In terms of short run unaweza pata faida lakini ukaja kufa njaa wakati biashara inapokuwa haipo kwa kipindi kirefu..

Mwambie awe mobile, abadilike kulingana na seasons..

182168_10150980132572482_1318449557_n.jpg
 
mjini mambo mengi kaka watu wengine hizo kazi ni zuga tu.kuna jamaa alikua anatuuzia kahawa na kashata hapa mjini
Arusha na anaelezea mahesabu mazuri ya fedha anayopata .2010 kuna jamaa akakutana nae anaingia Ikulu na ametoa
kitambulisho kuanzia hapo akatupigia simu kwamba huyu jamaa wa gahawa naingia nae hapa Ikulu na ameonyesha Id ya
kazi yake .Heshimu watu tu huku mijini kwetu.

stori za vijiweni hizi usizilete hapa jf, hapa tumekamilika mpaka rais ni member wa mtandao huu, tafuta watoto wa kuwaeleza simulizi hizi. nyinyi ndio wale kichaa anaokota makopo mnasema eti usalama wa taifa.

natumia simu sasa hivi nikirudi home nitaupload pdf file ili uijuwe idara ya usalama wa taifa na majukumu yao ni yepi.
 
Kama cjui kusoma nahisi wewe ndio ulikua mwalim wangu ndio maana cjui kusoma.....kama awez kumzarau maskin kwa akil yako apo kafanyaje na wewe...

siwezi kubishana na wewe hapa tuna level tofauti za uelewa. kusoma ni jambo moja na kuelewa ni jambo lingine kabisa.
 
siwezi kubishana na wewe hapa tuna level tofauti za uelewa. kusoma ni jambo moja na kuelewa ni jambo lingine kabisa.

Sio mbaya na wewe ndio kichwa chako kimeishia hapo kunielewa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom