Huyu jamaa kaniacha hoi

Huyu jamaa kaniacha hoi

You never know, huenda ana biashara nyingine under the carpet!!
 
anajipatia rizki kwa hiyo kazi yake! alishawahi kukuomba chakula?
pia sijaona lengo mahususi la hii thread
 
maisha ni hatari sana,, nauchukia
sana umaskini , eti hapa mjini mtu
kamua awe fundi mianvuli kweli
fundi mianvuli jamani huo
mwanvuli unauzwa tsh ngapi,,
mpaka uharibike ni lini na hiki
kiangazi nanii atakumbuka habari
za mianvuli,, aiseee sijawahi
mdharau maskini mwenzangu zaidi
ya kumhurumia

Hizi kazi unazozidharau wkt mwingine zinakipato kikubwa hata kuzidi wa vaa suti maofisini
 
Waafrica wengi ndio tulivyo yuko radhi akae nyumbani agombanie maandazi na wadogo zake huku akienda Chooni kwa foleni kuliko kufanya kazi anazoziona halilipi...
ImageUploadedByJamiiForums1405770501.662463.jpg ImageUploadedByJamiiForums1405770551.761956.jpg
Muangalie Mzungu hapo ndani ya tabora


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom