Huyu jamaa huwa mnamuelewa?

Huyu jamaa huwa mnamuelewa?

Dogo dullvan alianza kama marihara kwenye mitandao hasa Instagram.
Basi kijana kanunua hadi gari kwa style yake hiyo ila amezidisha sijui kama yupo salama kama yupo salama kweli pesa inatafutwa kwa nguvu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu amsaidie tu kwakweli.
 
Keshaharibika..mazoea hujenga tabia...wale watoto wa kiumeni udogoni waliokuwa wanapenda kucheza nafasi ya mama wengi waliishia huku
South Africa kuna dogo mmoja anaitwa Lasizwe.

Alianza hivi hivi, mwishowe kawa punga kabisa.

Wengi huitumia mbinu hiyo kuvuta attention na kupata umaarufu wa haraka.

Anyway, to each his own.
 
Huyu na Joti wote ndo walewale nyie bado mnahangaika nao tu...!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom