Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 585
- 1,164
Jau kinoma.. huyo jamaa amekataa kuwa nice guy kwa vitendo kabisa.Hahahaha uyo maza jau sana
Huyo mtoto kalengeshwa mshua kakomaa!😁Binafsi naona pia yupo sahihi.. usiniulize kwanini.
Unafuga mbwa ukitegemea mavi ya waleviJau kinoma.. huyo jamaa amekataa kuwa nice guy kwa vitendo kabisa.
Kabisa.SIO KILA PICHA INAMAANISHA UNACHOKIWAZA WEWE
Jamaa vitu vingine vyote kaviweka constant kwanza, hapo anachokizingatia ni simu, ubweche na hiyo soda, vilivyobaki vyote havizingatii😂😂😂😂
Hii ni picha mnato. Huenda kuna matukio kadhaa..maybe huyo maza alitaka asaidiwe kwa lazima as if ni Haki yake ya kikatiba.... ofcourse kama ulivyosema mmiliki wa eneo amezingua, anastahili azingatie usalama na ustaraabu kwa wateja wake... hata kama mm nimeenda kwenye mkahawa wa aina hii nikakutana na hii scenario hata kama nitawasaidia maza na huyo mwanae kiubinadamu ,automatically kesho na keshokutwa sitakanyaga tena kwenye huo mkahawa.Mmiliki na wafanyakazi wa eneo hilo wana makosa, huwezi kuruhusu mtu asiye mteja kusogea sehemu ya wateja ikiwa yeye siyo mteja.
hapo ni sehemu ya kupata huduma, na Jamaa kaja kula ili kukidhi haja yake, tena kwa pesa yake na mda wake mwenyewe.
Haina haja ya kumlaumu ikiwa sio tatizo lake,. Sema mwambia kuwa bize na simu kazingua kidogo.
ange wasikiliza kibinadamu.
Nakumbuka siku moja nipo kinondoni manyanya kuna mgahawa nakula akaja teja anataka buku nikamwambia sina akaanza maneno ya shombo.. kwa hiyo unakula biriani na juice hutaki kunipa bukuBinafsi naona pia yupo sahihi.. usiniulize kwanini.
MAra unakuja sikia hiyo ni familia ya jamaa🤣
Kabisa .. kuna matukio mengi nyuma ya hii picha.SIO KILA PICHA INAMAANISHA UNACHOKIWAZA WEWE
Meme yangu pendwa hii🤣🤣🤣😅
Uenda njemba nyumbani hakuacha kitu alafu wife kamfumania bar akijichana! Kaamua kumchukua dogo akamuone baba yake. Njemba kajifanya hawajui😁😁😁SIO KILA PICHA INAMAANISHA UNACHOKIWAZA WEWE