Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,108
- 5,626
Hehehe...Ni Mc wa hiyo invent
Kabisa Mkuu tena kama kweli ni mlinzi ingekuwa nchi za wenzetu ni jambo ambalo lingeteka vichwa vya habari vya news media na lingezua mjadala mkubwa sana....mlinzi wa rais huwezi ukakaa kihasarahasara kama hyo Jamaa....mara sijui kajifuta jasho....Mara kageuka geuka...Mara anamwangalia mh rais Viatu....Mara anamtathimini juu mpaka chini....yaani kasahau kabisa Kazi yake anafanya mengine Kabisa...inawezekana akawa Mc wa event nadhani....mlinzi wa rais hawezi kuwa nare nare kiasi hicho..Mmh hili nalo !!, tuna haja ya kulijadili kweli.?
Ni Mc wa hiyo invent
Ebu Mwangalie Vizuri:
a)Anacheka cheka hovyo!
b)Asimami Wima Wowote
c)Anawayawaya Uku na Uko
d)Je Kwa Hali Hii Usalama wa Raisi Upo Sawasawa?
Huyo sio MwanaUsalama, Ni MsemaChochote aka Mc wa Hafla hiyo.
Ni vyema ungetambua majukumu ya Aide - De - Camp ndio uwe na mantiki ya kukosoa utendaji wake. Kwa kukusaidia tu huyo bwana hahusiki na Usalama wa Mheshimiwa Rais.Ebu Mwangalie Vizuri:
a)Anacheka cheka hovyo!
b)Asimami Wima Wowote
c)Anawayawaya Uku na Uko
d)Je Kwa Hali Hii Usalama wa Raisi Upo Sawasawa?
kuna zawadi zingine hutolewa baada ya kuwa "reject".Ila kama ni mlinzi basi umakini wake ni mdogo sana
Japo sijui kiundani ila naamin binadamu anapocheka umakin wake hupungua hasa katika kujihami au kulinda
Isimamaji wake unatia mashaka kama kweli anaweza kufanya jambo la haraka anapohitajika kufanya hivyo
Tafadhal sana kaka huyo mr president tumepewa na Mungu kama zawad so tulindie zawadi yetu kaka
invent=eventNi Mc wa hiyo invent
Msikilize Mh Rais katika dakika ya 04:19 mpaka 04:29 kwa makini kasema nn. Anasema katika ilani ya CCM 2015/20000.