Huyu Jamaa aitwaye Maxence Melo anawasalimu

Huyu Jamaa aitwaye Maxence Melo anawasalimu

Kupitia Uzi Huu Naomba Kujua Hvi Huyu Jamaa Ana Account Humu Na Je Huwa Anachangia Au Kafungua Mtandao Na Kutuachia Tu
 
Mwanakijiji mwenyewe na uzee wake akiambiwa na Max niamkie shikamoo-anamwamkia
 
hapana mkuu huku kuna watu wa kila rika kuna mababu ya miaka iyoo ukiwaambia swala la mchizi wanaelewa ivyoivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Max hana noma,ni kijana mwenye mafanakio lakini hana mashauzi kama kina Kingwangala kauwaziri tu mashauzi zaidi ya Isha,

Sio msaliti kama Zana za Kilimo,yule angekuwa Melo angeshatuuza wote humu kwa sisiemu kwa vipande vya shilingi!
 
Back
Top Bottom