Natamani jf wote tupime tujue hali za afya zetu.
na ww ni grace mkuu?wowowo
grace aliyejaaliwa, nikuulize swali. Hivi wewe umejaaliwa nini?
Hapa tatizo ni houseboy anataka kumnyang'anya mzawa housegirl, hili huwa ni tatizo kubwa sana kwa wote watatu.
kiukweli hatujui cha kufanya kaka manake sisi tumemleta kwaajili ya kazi za nguvu mf kukata majani sa inafikia kipnd tunahofu kama zitamfanya achoke mapema na pia kama ataanza dawa lazma itamlazm kupata tym ya kupumzka so lengo letu la kuwa nae ni kama linakufa vile
Kwanza hii stori siielewi..huyo jamaa alienda kupima kwa hiari au kuna kitu aligundua kwenye mwili wake ndo akaenda kupima?
Maana kukurupuka tu na kwenda kupima bila sababu, tena kwa houseboy kama ulivyosema ni vigumu sana!
Halafu iweje? au..Natamani jf wote tupime tujue hali za afya zetu.
Kuna jambo ambalo mara nyingi silielewi, kijana anakuja kujitafutia riziki na unakiri ni mchapa kazi mzuri, kisha unashawishika kumpima...kwani mlitaka kumwozesha binti yenu au? Wee mwenyewe ukienda zahanati kupima malaria unamtahadharisha mpimaji asipime kitu kingine!
kiufupi hapo nyumbani hata nyinyi hamko salama kutokana na ufinyu wa ufahamu wa kujitambua wa huyo kijana, kwa usalama wenu tu na watoto wa watu anaotaka kuwaharibu mrudisheni kwao manake anaweza ata aje ambake huyo housegirl unajua ule ugonjwa wakati mwingine huingia kichwani mtu anafanya mambo ya ajabu