Wengine unakuta wanatoa hata kisamvu, ni balaa kwa kweli.Hili wimbi la vijana kuwa na ID za kike linaleta ukakasi
Basi hufai tena๐Ndio nn?
Mm nna full box tuu hapa ๐
Maandiko yanasema mmepewa bure toeni bureMwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati.
Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena.
Nimempiga bili za maana hadi huruma๐ ๐ .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta kunifahamu, mi nachekea tumboni tu hapa, lazima akasimulie kubabake
Short short huwezi toa somo likabamba, au siyo mazee?Unajielezea sana mzee, punguza maneno
Iwe short and clear sasaShort short huwezi toa somo likabamba, au siyo mazee?
Kwamba hakuna kijana wa kike?Hili wimbi la vijana kuwa na ID za kike linaleta ukakasi
Inategemea ntu na ntu!!
Sasa Kamdinyooo Siri ni yenu halafu wajaimwaga humu sasa ,huoni utaweanyima fursa na wengine kwa kumwaga mchele hadharani.Mfano angepata Kamdinyo bado ungekuja simulia,๐Mwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati.
Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena.
Nimempiga bili za maana hadi huruma๐ ๐ .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta kunifahamu, mi nachekea tumboni tu hapa, lazima akasimulie kubabake๐ ๐ ๐
We acha ushamba picha za Al za nini sasa au wakuja?๐ ๐ ๐ huyo kwanza unawai kurudi nyumbani ukute chemistry imekubali kati yenu, hata hela utaanza pata nyingiView attachment 3669983