huyu dogo utundu umemzidi

hapana wengine wanakata kama mdogo wangu alishawai kujikata mwenyewe uku anasema mimi ni mkurya lazima nijikate
 
anataka ku-control ukubwa wake ili baadaye isijewaumiza wenzake.
 
Hii ngumu sana, mimi hadi leo bado naogopa, teh teh teh teh...
 
kama itazidi ufupi si atapaka dawa za kichina itarefuka tuuu
 
dogo kakatwa kucha, hivyo hapati raha ya kujikuna, ndo kaona bora atumie kisu kujikuna kama vile anampara samaki kutoa magamba yake
 
Au ndio staili yenyewe ya kujivua magamba part 2
 
Hajajua faida yake ni nn laiti angeijua asingejaribu kuikata!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…