cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 117,357
- 190,594
๐๐๐๐๐Labla kamwe alikuwa anajipigia, sasa dogo anaona atakuwa anapewa ratiba wakati mwanzo alikuwa analala nayo ikiwa inahemea ndani kwa ndani ๐ฅ

Aibu sana hii!Kumbe haya mambo tunasikia yameongezeka sana nilikuwa bado siamini ila kwa hili,nimeogopa sana dunia imefika mbali sana naona mimi Niko nje ya wakatiHivi huko Dar es salaam wanaume wameisha au nini?
Yaani kwenye harusi ya mwanaume mwenzio anaoa jitu linabubujikwa machozi kama Mwashamba
Hichi kilio kinatupa mashaka
Ni maumivu kuwa Ali Kamwe kapata mke Sasa wewe utaishi vipi au nini tafsiri yake
Au ni kilio cha furahia? Na penyewe furahia Gani hiyo?
Natamani ningekuwa ukumbini ningemtoa meno kama 4 hivi, tupunguze hizi hasara Kwa Taifa
Nashauri Eng Hersi Said toa hizi takataka ofsini
Nimekereka na tabia hii ya kipumbavuView attachment 3427426
Shoga mbogaHivi huko Dar es salaam wanaume wameisha au nini?
Yaani kwenye harusi ya mwanaume mwenzio anaoa jitu linabubujikwa machozi kama Mwashamba
Hichi kilio kinatupa mashaka
Ni maumivu kuwa Ali Kamwe kapata mke Sasa wewe utaishi vipi au nini tafsiri yake
Au ni kilio cha furahia? Na penyewe furahia Gani hiyo?
Natamani ningekuwa ukumbini ningemtoa meno kama 4 hivi, tupunguze hizi hasara Kwa Taifa
Nashauri Eng Hersi Said toa hizi takataka ofsini
Nimekereka na tabia hii ya kipumbavuView attachment 3427426
Nimejua kumbe wewe ni Mzanzibari.....HahahaaDogo gani huyo?
Ndugu yangu vijana wa siku hizi hawnaa dhamana, usikute alikuwa analia wivu, mume anaoa, ama mkewe kapata mke.
Mwanaume analizwa nini kwenye harusi ya rafiki yake ?Wabongo na kutafrisi vitu wapo tofauti kabisa taafsiri upande wa pili pia sio negative tu
Umefeli mkuu.Nimejua kumbe wewe ni Mzanzibari.....Hahahaa
Kuna jambo unalijua ww, si ndio sekta yako huko...๐๐๐๐๐๐ Waja hamkosi maneno kabisaa
Hatari tupu sheikh.Huko dar sasa kumeoza
๐๐๐ duh! Daslamu hoyeeeeeHivi huko Dar es salaam wanaume wameisha au nini?
Yaani kwenye harusi ya mwanaume mwenzio anaoa jitu linabubujikwa machozi kama Mwashamba
Hichi kilio kinatupa mashaka
Ni maumivu kuwa Ali Kamwe kapata mke Sasa wewe utaishi vipi au nini tafsiri yake
Au ni kilio cha furahia? Na penyewe furahia Gani hiyo?
Natamani ningekuwa ukumbini ningemtoa meno kama 4 hivi, tupunguze hizi hasara Kwa Taifa
Nashauri Eng Hersi Said toa hizi takataka ofsini
Nimekereka na tabia hii ya kipumbavuView attachment 3427426
Watu Wana Siri baba mkweDogo gani huyo?
Ndugu yangu vijana wa siku hizi hawnaa dhamana, usikute alikuwa analia wivu, mume anaoa, ama mkewe kapata mke.
astaghfirullah, ila sidhani kama ni hiviLabla kamwe alikuwa anajipigia, sasa dogo anaona atakuwa anapewa ratiba wakati mwanzo alikuwa analala nayo ikiwa inahemea ndani kwa ndani ๐ฅ
Pengine alikuwa mchepukoHivi huko Dar es salaam wanaume wameisha au nini?
Yaani kwenye harusi ya mwanaume mwenzio anaoa jitu linabubujikwa machozi kama Mwashamba
Hichi kilio kinatupa mashaka
Ni maumivu kuwa Ali Kamwe kapata mke Sasa wewe utaishi vipi au nini tafsiri yake
Au ni kilio cha furahia? Na penyewe furahia Gani hiyo?
Natamani ningekuwa ukumbini ningemtoa meno kama 4 hivi, tupunguze hizi hasara Kwa Taifa
Nashauri Eng Hersi Said toa hizi takataka ofsini
Nimekereka na tabia hii ya kipumbavuView attachment 3427426
Nikisema wataniktukana๐๐๐ duh! Daslamu hoyeeeee
Nani anaweza kuotea kabila la huyo jamaa aisee
Duh!Msimtetee ni upuuzi wa kiwango cha sgr...unalia kama nani? Kama rafiki? Why ulie rafiki yako kaoa? Kama mzazi? Sawa tunaelewa maybe anakumbuka alipokutoa...
Sasa rfk wa kiume unamlilia rfk yako wa jinsia yako kama umefiwa mpk makamasi kweli??
Sisi wadada tukilia kwny shughuli za wenzetu huwa ni wivu tuu hakuna kingine..sasa yy nae anaona wivu??
Stupid